Utafiti:wanawake weusi wanapenda kujikoboa

Wee, waarabu wanajikoboa hadi basi pamoja na kuwa wana light skin
Ni kweli…sana sana wanatumia bleach kwenye light sikin zao. Ila inakuwa haichubuhi bali inasaidia ngozi ya
mwili kuwa nyororo kutokana na asili ya ngozi yao.
 
wanawake wa bongo (Tanzania) nadhani ndo wanaongoza,ukiwaona akinadada wa Kenya,Uganda na hata Afrika Kusini hawana mpango wa kujichubua kabisa hata awe mweusi ti!,sasa hawa dada zetu haka ka staili cjui walikapata wapi!;

umepita Congo?
 
Wakongo unawajua wewe?
Uchunguzi ulifanywa na shirika la utangazaji la uingereza BBC mwaka jana mwishoni walionesha majibu... Ukanda huu wa kusini mwa sahara kuanzia tz,kongo,Zambia mpk south a.k.a mzansi wanapiga mkorogo. Na walimhoji msanii wa sauzi mwanamke aliyejibleach, kuna mbaba nkongomani nae alikuwa na kansa walimhoji na daktari wake. Jamani sasa wanawake na wanaume wanajipiga mambo na ni ukanda huu wote ukiacha Kenya na uganda
 
riporti nzuri inabidi watu waache
ubize wa kujichubua ni bora ulime bustani au ujisiughulishe tu na mambo mengine
 
Sioni utafiti wowote hapo! Unachojaribu kusema hapa ni sawa mtu akija na utafiti wake hapa akisema eti amebaini kwamba wanaoingia katika migahawa (restaurants) wanakuwa na njaa, sasa ulitegemea waingie kufanya booking za kusafiri kwa ndege au mabasi?

Anayejikoboa au kujisaga kabisa ni yule mweusi, au utafiti umebaini dawa za kujikoboa kwa walio weupe ili wawe weusi?
 
elimu inatakiwa huko maana mtu utakuaje na rangi mbili halafu unajiita mzuri?

tatizo wapo karibu na Zambia na Congo ambao ndo wasambazaji wazuri wa hizo za kukobolea..ila nowdays maisha yanabadilika wasichana wameanza kujikubali kwa kiasi tofauti na miaka ya hivi karibuni ambapo weupe ulikua ni fasheni...
 
Sioni utafiti wowote hapo! Unachojaribu kusema hapa ni sawa mtu akija na utafiti wake hapa akisema eti amebaini kwamba wanaoingia katika migahawa (restaurants) wanakuwa na njaa, sasa ulitegemea waingie kufanya booking za kusafiri kwa ndege au mabasi?

Anayejikoboa au kujisaga kabisa ni yule mweusi, au utafiti umebaini dawa za kujikoboa kwa walio weupe ili wawe weusi?

je kabla ya uhuru kulikua na mambo haya???
Kama HAPANA ndio ujue kuna makundi yapo yanayohusudu na huwezikujua mpaka ufanyike utafiti

AMA KWELI NABII HAKUBALIKI KWAO!

ANGEKUWA MZUNGU AMEFANYA UTAFITI MSINGEGUNA
 
ni nini maana ya bleach?

Naelewa na kutambua kuwa unajua na pia ninajua maana ya bleach. Ila siyo kila aina ya bleach ina nguvu kubwa ya kuchubua,noo bali zinatofautiana kutokana na matumizi…zingine zinanguvu sana na zingine zina nguvu kidogo sana.

So hawa dada zetu wa kiarabu huwa wanachukua hizo ambazo zina nguvu kidogo kisha wanachanganya na powder ndipo wanajipaka mwilini mfano wa mafuta ya ngozi
 
tatizo wapo karibu na Zambia na Congo ambao ndo wasambazaji wazuri wa hizo za kukobolea..ila nowdays maisha yanabadilika wasichana wameanza kujikubali kwa kiasi tofauti na miaka ya hivi karibuni ambapo weupe ulikua ni fasheni...

yap kujikubali jinsi ulivyo jambo zuri sana kujikoboa sio poa
au wazambia na wakongo walikuepo hapo mitaani?
 
tatizo wapo karibu na Zambia na Congo ambao ndo wasambazaji wazuri wa hizo za kukobolea..ila nowdays maisha yanabadilika wasichana wameanza kujikubali kwa kiasi tofauti na miaka ya hivi karibuni ambapo weupe ulikua ni fasheni...
Your right…siku zinapozidi kwenda na dada zetu walio wengi nao wanabadilika na kuelimika. No moo mkorogo.
 
je kabla ya uhuru kulikua na mambo haya???
Kama HAPANA ndio ujue kuna makundi yapo yanayohusudu na huwezikujua mpaka ufanyike utafiti

AMA KWELI NABII HAKUBALIKI KWAO!

ANGEKUWA MZUNGU AMEFANYA UTAFITI MSINGEGUNA

Hapana ndugu usijifiche katika chaka la wazungu au unabii! Utafiti lazima uwe na lengo kuu.., unachotaka kusema ni kwamba utafiti huu ulilenga kubaini kama wanaonunua na kutumia madawa kujikoboa ni wanawake weusi au weupe? Sidhani kama hilo kujua aidha ni weusi au weupe ndio wateja linahitaji utafiti. Jambo lililo wazi.

Kama unahitaji topic utafiti wa namna hiyo labda jaribu ku-modify kidogo na ufanye unaolenga kujua sababu za walio weusi kutumia mkorogo ili wawe weupe. Hoja yangu ni kwamba hakuna mwanamke aliye mweupe anayetafuta mkorogo kwa kuwa hakuna mkorogo wa kumfanya aliye mweupe kuwa mweusi!

Lakini hongera umeonesha nia ya kufanya utafiti
 
Naelewa na kutambua kuwa unajua na pia ninajua maana ya bleach. Ila siyo kila aina ya bleach ina nguvu kubwa ya kuchubua,noo bali zinatofautiana kutokana na matumizi…zingine zinanguvu sana na zingine zina nguvu kidogo sana.

So hawa dada zetu wa kiarabu huwa wanachukua hizo ambazo zina nguvu kidogo kisha wanachanganya na powder ndipo wanajipaka mwilini mfano wa mafuta ya ngozi

bas sawa!
 
Back
Top Bottom