Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
hongera sana jivunie uhalisia wako
najivunia sana ya nini
kununua kansa?watajiju wanaojikoboa!!
hongera sana jivunie uhalisia wako
huu ni utafiti ambao tayari nimeuconfirm katika mikoa niliyopita hasa kagera,kigoma,mara na mjini dar es salaam wengi wao wanapenda kuwa smart lakini tatizo hawaupendi u-asili wao ni wateja wazuri wa vipodozi katika maduka makubwa
utafiti huu uli angaza kwa kuangalia na kuwahoji wahusika wenyewe
maoni yetu watifiti:
WANAWAKE WEUSI ACHENI UROHO WA VIPODOZI MTALIPUKA KAMA NI MBAYA UTAKUWA MBAYA TU!
Kwanza tambua siyo wanawake wote wanajichubua ila ni baadhi yao tu tena ni wachache sana.
Pili tambua baadhi ya madada zetu hasa wa uswahilini wanauelewa mdogo sana kulinganisha na madada zetu waliosoma au kuzaliwa kwenye familia bora. Kwa vyovyote vile wadada zetu wa uswazi ndiyo waathirika wakubwa
wa mavitu haya kuliko wadada zetu wa kishua.
Tatu tambua siyo kila dada anaeng'aa usoni au mwili mzima basi anatumia mkorogo wa kujichubua laa hasha wengne wanatumia vipodozi asilia na wanakuwa na muonekano wa natural sikin.
By the way sipendi wadada zetu wautafute urembo wa kutumia vipodozi vikali ni hatari kwa afya yao
huu ni utafiti ambao tayari nimeuconfirm katika mikoa niliyopita hasa kagera,kigoma,mara na mjini dar es salaam wengi wao wanapenda kuwa smart lakini tatizo hawaupendi u-asili wao ni wateja wazuri wa vipodozi katika maduka makubwa
utafiti huu uli angaza kwa kuangalia na kuwahoji wahusika wenyewe
maoni yetu watifiti:
WANAWAKE WEUSI ACHENI UROHO WA VIPODOZI MTALIPUKA KAMA NI MBAYA UTAKUWA MBAYA TU!
Hapana ndugu usijifiche katika chaka la wazungu au unabii! Utafiti lazima uwe na lengo kuu.., unachotaka kusema ni kwamba utafiti huu ulilenga kubaini kama wanaonunua na kutumia madawa kujikoboa ni wanawake weusi au weupe? Sidhani kama hilo kujua aidha ni weusi au weupe ndio wateja linahitaji utafiti. Jambo lililo wazi.
Kama unahitaji topic utafiti wa namna hiyo labda jaribu ku-modify kidogo na ufanye unaolenga kujua sababu za walio weusi kutumia mkorogo ili wawe weupe. Hoja yangu ni kwamba hakuna mwanamke aliye mweupe anayetafuta mkorogo kwa kuwa hakuna mkorogo wa kumfanya aliye mweupe kuwa mweusi!
Lakini hongera umeonesha nia ya kufanya utafiti
anachotakiwa kujua scatter wanawake weusi sio homogeneous kwamba wanafanana kwa kila character. sababu yeye mwenyewe kasema aliwahoji wahusika, alichotakiwa kufanya pia ni kuleta findings ambazo zimezezingatia demographic charecteristics kama age, education, background, income level etc etc.
hizo findings zina limitation kubwa, that they cant be generalized kwa kila mwanamke, they are valid only kwa hao aliowahoji. hebu arudi tena field akafanye scientific research, bila kusahau lengo kuu la kufanya huo utafiti
...and I lurrrrrrrrv it!:smile-big::busu
waawoo utapendwa na wengi makansa hayakukuti weye!