MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Vipi urembo wa salon unaupenda?yani napemda nilivyo mweusi natural is beuty bwana duh hizo make up za nini? basi si kuondoa rangi ya asili highlight sehemu muhimu za uso,..
Vipi urembo wa salon unaupenda?yani napemda nilivyo mweusi natural is beuty bwana duh hizo make up za nini? basi si kuondoa rangi ya asili highlight sehemu muhimu za uso,..
mkuu nipe ripoti hiyo ni mbeya mjini?
Mbozi?
Kyela? Au rungwe?
ulichotafiti hapo ni nini?ndugu huu ni utafiti huru
au umeshayaona haya?
tafiti nyingine bana!
sasa mweupe wajikoboe nini?
Kuna mtu atakuja na tafiti hapa "nimegundua wanawake wasiotasa wanazaa"
Mkuu naoana hujanielewa nnachomaanisha!kwani hajaon hizo location hapo juu ambapo tafiti zimefanikiwa? mkuu hali ni mbaya sana
Nilikua namaanisha fact ni kua wanawake wanaoJichubua ni weusi ili waonekane weupe "sasa unapokuja kusema kua umefanya utafiti wanawake weusi wanapenda kujikoboa nashindwa kuelewa ni utafiti gani huu!funguka mkuu kama sijakuelewa maudhui yako !
wanawake wa bongo (Tanzania) nadhani ndo wanaongoza,ukiwaona akinadada wa Kenya,Uganda na hata Afrika Kusini hawana mpango wa kujichubua kabisa hata awe mweusi ti!,sasa hawa dada zetu haka ka staili cjui walikapata wapi!;
We are missing the point. Sidhani ni wanawake wote weusi, kwa psychology ya haraka check common dinominator ya hao wanawake -kielimu (hata IQ yao), social interactions, exposure....Coz mweupe utataka ajichubue nni already they are light-skinned!
Cha ajabu wanaume wa ki Congo ndiyo wanapenda kujichubua kushinda wanawake wa nchi hiyoWakongo unawajua wewe?
Nilikua namaanisha fact ni kua wanawake wanaoJichubua ni weusi ili waonekane weupe "sasa unapokuja kusema kua umefanya utafiti wanawake weusi wanapenda kujikoboa nashindwa kuelewa ni utafiti gani huu!