Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,427
- 191,704
Kumbe ndio maana upo sensitive sana eeh, i feel u!Tena mfupi haswa
Kumbe ndio maana upo sensitive sana eeh, i feel u!Tena mfupi haswa
Ndio mkuu.Kwahiyo ni mahususi kwa mwanamke tu?
Ha haa una mambo weweKumbe ndio maana upo sensitive sana eeh, i feel u!
[emoji23] [emoji23]Ndio mkuu.
Utafiti:unazungumzia mwanamke mfupi
Ndo maana nauza dawa za kuongeza urefu kwa wanawake tu Tshs2,000 tu[emoji1]
Mi nikajua una dawa za kurefusha mambo flani.Ndio mkuu.
Utafiti:unazungumzia mwanamke mfupi
Ndo maana nauza dawa za kuongeza urefu kwa wanawake tu Tshs2,000 tu[emoji1]
DuuuuuuMi nikajua una dawa za kurefusha mambo flani.
Una nyege wewe.Utafiti umewagusa Madame B na Evelyn Salt.
Mke wangu yupo.Una nyege wewe.
Unatafuta bwana Jumatatu hii
Tutasaidiana nae kwa ajili ya three someMke wangu yupo.
Hiyo sahau.Tutasaidiana nae kwa ajili ya three some
Nisahau kwani naiweka mfukoni na kuondoka nayo?Hiyo sahau.
Wewe utazan ulishamuona mke wangu. Daaaaah jamaa nakuunga mkono 100%Nimefanya utafiti huu kwa miaka saba.
Si wanawake wote ila asilimia 95 wanawake wa aina hii kwakweli sina hamu nao ni wakorofi kupindukia. Wengi wao hawashauriki na katika mahusiano, nimejikuta naachana nao bila sababu ya msingi.
Tofauti na wenye mwili na warefu huwa wanauvumilivu ule wa kibinadamu mpaka umchefue sana ndo huwa wanachukua maamuzi magumu, lakini hivi vyembamba na vifupi huwa vinanuna bila sababu ya msingi.
Nyuso zao nyingi zimekaa kihasira muda wote ninakajirani kangu hako yaani huwa nacheka mwenyewe tu kakorofi na jamaa yake huwa anakatwanga kila siku ila wapi. Halafu huwa vigumu kulia hata ukipe kibano cha namna gani.
Jembe afrika
Huruhusiwi.Nisahau kwani naiweka mfukoni na kuondoka nayo?
HayaHuruhusiwi.