Utafiti: Wanawake wa darasa la saba mpaka diploma wanaheshimu ndoa zao

SOMA HAPA USIPUUZE

*TAFITI IMEFANYIKA COLORADO KUHUSU NDOA AFRICA (WANAWAKE WA DARASA LA SABA MPAKA DIPLOMA WANAHESHIMU SANA NDOA)*

Wanaume walio oa wanawake wenye elimu ndogo wanapata raha na furaha kwa ndoa zao

Inasemekana ukimuoa mwanamke wa elimu ya chini we ndo unakuwa mwalimu wake, *hasa kama ukikapata ka darasa la Saba unakaandaa vema kwa matumizi ya baadae,*

1995 hadi 2016 kumewepo na mkumbo wa watu kukutana vyuoni na kuona,

Ila matokeo yake
1.dharau kupandishiana sauti mbele ya watoto, wageni, na hata mbele ya wazazi kisa mko sawa kielimu na kipato,

2. Majukumu ya family yanakwepwa kiaina kusingizia kuchelewa ofisini,

3. Safari za mabosi na Mke wako kuhusu semina na vikao, mwanaume ndo anaanza majukumu, au house girl

4. Challenge za hapa na pale kuhusu ndoa na muda wa kuwa na ukaribu na familia haupo tena,

5. Inasemekana hata watoto wanaanza kukosa uangalizi, wa karibu,

Lakini ukimuona mtu anapata haya.chini jua kaoa mwanamke wa elimu ya chini kidogo yake

1.kumsikiliza mme analosema
2. Kuwaheshimu kila watu ambao anahis ndo wanasababisha mme wake aendelee kuwa kazin,
3. Hanyanyui kinywa mbele ya wazazi au watoto Kumkosoa mme live,

4. Anayewajibika nyumbani na kutimiza Majukum ya nyumbani,

5. Usafi wa mme nyumba na watoto,

6. Kudimisha uhusiano na majirani na wanawake wa vyama mbali mbali maana muda anao,

Kuna askofu mmoja Aliwahi nambia hivi

"Wasomi wengi mizigo huu ndo ukweli ambao ni mgumu kuusikia..wachache sana wamesoma na bado wana akili nzuri za kudumisha mahusiano we kama hutaki usumbufu,vurugu,kupandishiwa sauti mbele ya watoto wako ..oa mwenye elimu ya kawaida...ila kama unaa bahati unaweza kupata msomi anaejielewa na hapo ni bahati nasibu tu......sio kwa uwezo wako bali zali tu linakudondokea"

Akaendelea kusema hivi umuusishe MUNGU wakati nawe unachagua, wengi ambao wameshakosea kuchagua ukimbilia MKE MWEMA ULETWA NA MUNGU,

ILA KWA TAFITI ZA HARAKA FAMILIA ZENYE FURAHA WANAWAKE WANA ELIMU ZA KAWAIDA SANA,

Kabla hujanibishia pitia hapa
1.Elimu ya mwalimu Nyerere na ya mke wake,

2.kikwete na mkewe

3. Magufuli na mkewe
4. Lowasa na mkewe

5. Mwinyi
6. Mkapa
7. Professor baregu

Mnazani hao hawakuwaona wa ma degree waliosoma nao?

Nasema sema tu mi sijaoa hahahaha

Nimeikopi.sehem

*ILA TUWE WAZI KUISHIA LA SABA HAIMAANISHI NI MBUMBUMBU NI MAZINGIRA HUPELEKEA, LAKINI KUENDELEA JUU ZAID HUJIFUNGA MENGI YSIYO MAZURI*
 
Mwanaume unayeogopa mwanamke msomi kwasababu yoyote ile maana yake unajua huwezi kumfanya mwanamke huyo kuwa chini ya mamlaka yako. Huu ni uoga na aibu kwa mwanaume. Hata kama ni prof. ni mwanamke tu ...tumia akili kama Bible inavyosema ...hao wanawake wasomi hamsikii wakitapeliwa na vijana wadogo na shule hawajaenda? Tena utapeli wa kipuuzi unaochangiwa na upofu wa kupenda!
 
Wasisome au wasaidiwaje?

Ndo waandishi wa "natafuta mume, awe na sifa hizi
1. awe handsome
2.awe ana angalau degree (asiwe Mwalimu)
3.awe mrefu
4.asiwe mweusi sana
5.awe na gari na nyumba ya kuanzia maisha
6.asiwe anapenda kushika simu yangu
7.awe na six parks na mwili wa mazoezi
8.asiwe bahili
9................
10.............
11...............
12...............
13.................

Vigezo na masharti kizingatiwa
 
Back
Top Bottom