Utafiti: Wanawake wa darasa la saba mpaka diploma wanaheshimu ndoa zao

Mapenzi hayana formula,kuna waliooa hao wa elimu ndogo lakini ndoa zao ni ndoano!
 
Kuna mtu aliwahi kusema hakuna mwanamke anaweza kumpa mwanaume zaidi ya sex!

Kwa hiyo hao unaosema hawana shida na wanaheshima, wape biashara utawaona. Utafiti nilionao ni kwamba wanawake wa sasa wasiokwenda shule ni wasumbufu kweli kwa maana hawajui lipi ni sahihi na lipi si sahihi.

Lakini mke bora anatoka kwa Mungu awe amesoma au la!!
Nakuunga mkono kwa asilimia mia!
 
Kwenda zako huko! Kuna wanawake wana mastaz huko na wanaheshimu ndoa zao kuliko!

Na hao failures wako ndo wanaongoza kwa midomo michafu, maana hawajuagi ht kubehave!!

Wee hata mitaani angalia wanaoongoza kwa mambo machafu ni kina nani, degree au hao la saba wako??

Wee kama huna bahati ya kupata wasomi achana nao tuu usiwatafutie visaa
 
Wanawake wenye elimu ndogo mara nyingi ni rahisi kuwa manipulated, ndio maana inaonekana wanaheshimu ndoa. Na sababu za wanaume ku-prefer wanawake wa aina hiyo ni kutojiamini tu.


Ni Kweli hawajiamini. Eti wanadhani kutokuwa na ufahamu ndo heshima.

Kama unaoa mwanamke wenye elimu ndogo ili awe full time house girl na kutokuchallenge kitu chochote kwenye ndoa basi una maono mafupi na watoto wako huenda ukawanyima fursa ya kuwa na wazazi wote wawili wenye kuwasaidia kwenye mambo ya shule. Tafiti pia zinaonesha kuwa wazazi wote wawili wakiwa Wana elimu ya juu basi Hali ya familia inakuwa bora Zaidi.

Tatizo wanaume wengi mno mna uselfish fulani ya kutaka kuonekana mko juu sana na hamuwezi kukosolewa, na pia mnaona wanawake ni was sex , watoto na mambo ya nyumbani. Maono mafupi na mawazo ya kimasikini sana.
 
SOMA HAPA USIPUUZE

TAFITI IMEFANYIKA COLORADO KUHUSU NDOA AFRICA (WANAWAKE WA DARASA LA SABA MPAKA DIPLOMA WANAHESHIMU SANA NDOA)

Wanaume walio oa wanawake wenye elimu ndogo wanapata raha na furaha kwa ndoa zao

Inasemekana ukimuoa mwanamke wa elimu ya chini we ndo unakuwa mwalimu wake, hasa kama ukikapata ka darasa la Saba unakaandaa vema kwa matumizi ya baadae,

1995 hadi 2016 kumewepo na mkumbo wa watu kukutana vyuoni na kuona,

Ila matokeo yake
1.dharau kupandishiana sauti mbele ya watoto, wageni, na hata mbele ya wazazi kisa mko sawa kielimu na kipato,

2. Majukumu ya family yanakwepwa kiaina kusingizia kuchelewa ofisini,

3. Safari za mabosi na Mke wako kuhusu semina na vikao, mwanaume ndo anaanza majukumu, au house girl

4. Challenge za hapa na pale kuhusu ndoa na muda wa kuwa na ukaribu na familia haupo tena,

5. Inasemekana hata watoto wanaanza kukosa uangalizi, wa karibu,

Lakini ukimuona mtu anapata haya.chini jua kaoa mwanamke wa elimu ya chini kidogo yake

1.kumsikiliza mme analosema
2. Kuwaheshimu kila watu ambao anahis ndo wanasababisha mme wake aendelee kuwa kazin,
3. Hanyanyui kinywa mbele ya wazazi au watoto Kumkosoa mme live,

4. Anayewajibika nyumbani na kutimiza Majukum ya nyumbani,

5. Usafi wa mme nyumba na watoto,

6. Kudimisha uhusiano na majirani na wanawake wa vyama mbali mbali maana muda anao,

Kuna askofu mmoja Aliwahi nambia hivi

"Wasomi wengi mizigo huu ndo ukweli ambao ni mgumu kuusikia..wachache sana wamesoma na bado wana akili nzuri za kudumisha mahusiano we kama hutaki usumbufu,vurugu,kupandishiwa sauti mbele ya watoto wako ..oa mwenye elimu ya kawaida...ila kama unaa bahati unaweza kupata msomi anaejielewa na hapo ni bahati nasibu tu......sio kwa uwezo wako bali zali tu linakudondokea"

Akaendelea kusema hivi umuusishe MUNGU wakati nawe unachagua, wengi ambao wameshakosea kuchagua ukimbilia MKE MWEMA ULETWA NA MUNGU,

ILA KWA TAFITI ZA HARAKA FAMILIA ZENYE FURAHA WANAWAKE WANA ELIMU ZA KAWAIDA SANA,

Kabla hujanibishia pitia hapa
1.Elimu ya mwalimu Nyerere na ya mke wake,

2.kikwete na mkewe

3. Magufuli na mkewe
4. Lowasa na mkewe

5. Mwinyi
6. Mkapa
7. Professor baregu

Mnazani hao hawakuwaona wa ma degree waliosoma nao?

Nasema sema tu mi sijaoa hahahaha

Nimeikopi.sehem

Hao uliowataja wote ni 60++ kiumri. Wametokea kizazi ambacho wanawake walikuwa hawasomeshwi sana , kwahiyo mtu mwenyewe degree kuoa la saba au diploma ilikuwa Sawa tu.

Kwa kizazi hiki na uchumi huu, hiyo combination inaleta maana Kweli? Na wanaume kuheshimu ndoa inaendana na elimu au ni tabia ya mtu?

Wewe kama mzazi huwezi kumkatisha mtoto wako was kike masomo eti ile aheshimu ndo, that makes no sense na utachekwa sana tena sana. Kuheshimu ndoa ni tabia ya mtu, na heshima ya ndoa inabidi ikae Kwa wote wawili, wanaume na wanawake. Unaogopa wasomi sababu unajua msomi anajitambua na hatokaa kwenye ndoa na wewe kama hujiheshimu. Kama wajijua ni mdhaifu, stay away from wasomi.
 
Kwenda zako huko! Kuna wanawake wana mastaz huko na wanaheshimu ndoa zao kuliko!

Na hao failures wako ndo wanaongoza kwa midomo michafu, maana hawajuagi ht kubehave!!

Wee hata mitaani angalia wanaoongoza kwa mambo machafu ni kina nani, degree au hao la saba wako??

Wee kama huna bahati ya kupata wasomi achana nao tuu usiwatafutie visaa
OMO
 
Wanawake wenye elimu ndogo mara nyingi ni rahisi kuwa manipulated, ndio maana inaonekana wanaheshimu ndoa. Na sababu za wanaume ku-prefer wanawake wa aina hiyo ni kutojiamini tu.
Wenye elimu kubwa wana (wabongo)overexegelate or misinterprete gender equality.................
They start unnecessary arguements tena hata vitu wasivyovijua(wengne ulewa wao mdogooooo) ila they shout to be heard as if ndo kumake point....
Wanaunguza hadi mboga jikoni kisa wako insta, whatsapp sijui fb F`Ck ......

hata huko ulaya bado mama ndio kichwa nyumba in term home staff hata kama wanasaidina na mume ila wa ndo mameneja nyumbani.....
 
Adults who are married or in an otherwise committed relationship tend to function better sexually compared to their unattached counterparts, and those with higher educational attainment tend to have a better sex life compared to adults who achieve less educationally.
 
Kweli uwe na degree yako safi smart ukaoe mwanamke darasa la saba? shida ipo somewhere aisee khaaa.......... na watoto wako wataelewana kweli kwenye elimu? maana yule hatakuwa na tofauti na msaidizi wa nyumbani. hata marafiki wakija nyumbani hawezi kucop nao yeye atakuwa bibi majivu huko jikoni unless ukamwanzishie QT na baadae aanze certificate then Diploma na ndio aje aanze kuzibukia ukubwani aanze kutusuliwa hata kwenye bafu la chuo.... nyambafu mnaowaza kwa kutumia ndevu badala ya brain............

unless unahitaji mtu wa kukufyetulia watoto basi... maana hata siku hizi housemaid wanakuja ambao wamemaliza form 4 watabaki kuongea lugha ya malkia na watoto yeye atabaki kuosha masufuria jikoni.

serious std 7 hata thinking capacity yake ni shida khaaa
 
Tupe na tafiti ya wanawake

1. WAREFU na WAFUPI
2. WANENE na WEMBAMBA
3. WEUSI na WEUPE
4. WAREFU WANENE na WAREFU WEMBAMBA
5. WAFUPI WANENE na WAFUPI WEMBAMBA
6. WAREFU WEUSI na WAREFU WEUPE
7. WAFUPI WEUSI na WAFUPI WEUPE
8. WAREFU WANENE WEUSI na WAREFU WANENE WEUPE
9. WAFUPI WANENE WEUPE na WAFUPI WANENE WEUSI
10. Etc, etc....

Kwa sisi ambao tunataka kuoa nadhani hizo zitatufungua kidogo...
 
Mimi nmesoma na Nina kidgree kimoja ila nilishaapa stamuoa mwanamke ambae hana degree. Nmesoma na kupata machungu ya elimu iweje niishi na zezeta kisa heshima za uoga na unafiki!! Kwanza nkipata demu uneducated huwa sikai nae zaidi ya two weeks maana huwa nawadharau sana na break ups zinatokea. Dunia ya sasa unawapigia debe wanawake waliofeli shule wakati tunataka 2050 kila mtanzania awe na degree au hata 95%. Sasa watatoka wapi hao wife material unaowataka. Acha uoga oa mwanamke anaejitambua mwenye akili ili mpambane kutafuta maisha. Kwa utafiti wako ungeenda mahakaman kuuliza kesi nyingi za ndoa na divorces ni za watu wa elimu gani. Ndo nyie ukifa ghafla watoto wanaachwa na mwanamke anaenda kuolewa kitu ambacho graduate hawezi kufanya. We nae ni kilaza nn!!
 
Back
Top Bottom