Utafiti: Wanawake wa darasa la saba mpaka diploma wanaheshimu ndoa zao

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,591
SOMA HAPA USIPUUZE

TAFITI IMEFANYIKA COLORADO KUHUSU NDOA AFRICA (WANAWAKE WA DARASA LA SABA MPAKA DIPLOMA WANAHESHIMU SANA NDOA)

Wanaume walio oa wanawake wenye elimu ndogo wanapata raha na furaha kwa ndoa zao

Inasemekana ukimuoa mwanamke wa elimu ya chini we ndo unakuwa mwalimu wake, hasa kama ukikapata ka darasa la Saba unakaandaa vema kwa matumizi ya baadae,

1995 hadi 2016 kumewepo na mkumbo wa watu kukutana vyuoni na kuona,

Ila matokeo yake
1.dharau kupandishiana sauti mbele ya watoto, wageni, na hata mbele ya wazazi kisa mko sawa kielimu na kipato,

2. Majukumu ya family yanakwepwa kiaina kusingizia kuchelewa ofisini,

3. Safari za mabosi na Mke wako kuhusu semina na vikao, mwanaume ndo anaanza majukumu, au house girl

4. Challenge za hapa na pale kuhusu ndoa na muda wa kuwa na ukaribu na familia haupo tena,

5. Inasemekana hata watoto wanaanza kukosa uangalizi, wa karibu,

Lakini ukimuona mtu anapata haya.chini jua kaoa mwanamke wa elimu ya chini kidogo yake

1.kumsikiliza mme analosema
2. Kuwaheshimu kila watu ambao anahis ndo wanasababisha mme wake aendelee kuwa kazin,
3. Hanyanyui kinywa mbele ya wazazi au watoto Kumkosoa mme live,

4. Anayewajibika nyumbani na kutimiza Majukum ya nyumbani,

5. Usafi wa mme nyumba na watoto,

6. Kudimisha uhusiano na majirani na wanawake wa vyama mbali mbali maana muda anao,

Kuna askofu mmoja Aliwahi nambia hivi

"Wasomi wengi mizigo huu ndo ukweli ambao ni mgumu kuusikia..wachache sana wamesoma na bado wana akili nzuri za kudumisha mahusiano we kama hutaki usumbufu,vurugu,kupandishiwa sauti mbele ya watoto wako ..oa mwenye elimu ya kawaida...ila kama unaa bahati unaweza kupata msomi anaejielewa na hapo ni bahati nasibu tu......sio kwa uwezo wako bali zali tu linakudondokea"

Akaendelea kusema hivi umuusishe MUNGU wakati nawe unachagua, wengi ambao wameshakosea kuchagua ukimbilia MKE MWEMA ULETWA NA MUNGU,

ILA KWA TAFITI ZA HARAKA FAMILIA ZENYE FURAHA WANAWAKE WANA ELIMU ZA KAWAIDA SANA,

Kabla hujanibishia pitia hapa
1.Elimu ya mwalimu Nyerere na ya mke wake,

2.kikwete na mkewe

3. Magufuli na mkewe
4. Lowasa na mkewe

5. Mwinyi
6. Mkapa
7. Professor baregu

Mnazani hao hawakuwaona wa ma degree waliosoma nao?

Nasema sema tu mi sijaoa hahahaha

Nimeikopi.sehem

ILA TUWE WAZI KUISHIA LA SABA HAIMAANISHI NI MBUMBUMBU NI MAZINGIRA HUPELEKEA, LAKINI KUENDELEA JUU ZAID HUJIFUNGA MENGI YSIYO MAZURI
 
Kuna mtu aliwahi kusema hakuna mwanamke anaweza kumpa mwanaume zaidi ya sex!

Kwa hiyo hao unaosema hawana shida na wanaheshima, wape biashara utawaona. Utafiti nilionao ni kwamba wanawake wa sasa wasiokwenda shule ni wasumbufu kweli kwa maana hawajui lipi ni sahihi na lipi si sahihi.

Lakini mke bora anatoka kwa Mungu awe amesoma au la!!
 
Mhhhhhh!!!!

Miaka ya zamani niliwahi kusoma diploma tena ya maana kabisa inayoheshimika, kulikuwa na mdada mmoja tena ni mke wa mtu na alikuwa anachakachuliwa mpaka library, wengine pia walikuwa wanaliwasana, kuna mmoja alikuwa demu wa jamaa flani maarufu hapo chuoni jamaa alikuwa anafadhiri haya mashindano ya ligi za chuo ,in short mshikaji alikuwa na mpunga, siku moja akamtosa demu wake aloooo, demu kanywa sumu bahati nzuri walimuwahii maticha wakapiga simu kwa mfadhili wake kuelezea kilichotokea alooo kumbe alikuwa ni mke wa askari tena wa ndoa kabisa na chuo kizima tulikuwa tunamuita shemeji kwa jamaa,

Kwa taarifa yakoo huko diploma na certificate kuna uhuni balaa watu wanawamaliza mademu wa chuoni wanaingia mpaka kwa wanakijiji hadi wauza maembe ni kuliwa tuu, kule acha kabisa,

Chuo kikuu hamna kitu watu ni wastaarabu watu aliokuwa serious na shule watu waliokuwa vipanga uhuni wao haufikii hata robo ya NTA level.
 
Yaaan hiyo ni kweli kabsa,
Ndoa za watu walioninguka zaidi ya 9 zina migororo 3 zimevunjika,
Nadhani hii mambo ya gender equality huku kwetu Africa wanawake wanaijukulia vibaya(hawana heshima,wanaviburi, majukumu yale ya nyumbani ya kawaida kabsa kwa ke nayo wanategea housegirl, yaana mma anaamka asbuhi na simu hatoki kitandani(wkend) housegirl anaingia chumba chake kumchukua mtoto akamlee
Yaaani hiyo research kweli kabsa.....
wadada wanachanganya kati ya kumuuliza(ask politely) mme kistahaarabu na kimahaba na kumuhoji(interogate) mfn mme kachelewa kurudi.. Utasikia ulikuwa wapi tena mbele ya watoto kwa tone ya ukali. Badala ingekuwa mume umechelewa kurudi mpenzi niliaanza kupatwa na wasiwasisi... Yaan hapo hata kama ulikuwa kwa mchepuko utafili hata guilty....

Ila wake wa siku hizi
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom