Utafiti: Wanawake wa darasa la saba mpaka diploma wanaheshimu ndoa zao

Unaweza ukawa sahihi ila unanishauri nini mimi nina diploma ila nataka kuoa PhD holder?
 
Mwisho wana wake wenye kipato wataowa endeleeni kuwaogopa, badala ya kutafuta pesa ili mlete heshima ndani.
 
Ina ukweli ndani yake,wasomi wengi wana umimi sana na elimu waloipata haiwasaidii katika maisha ya ndoa,mifano ninayo pia.
 
Wenye elimu kubwa wana (wabongo)overexegelate or misinterprete gender equality.................
They start unnecessary arguements tena hata vitu wasivyovijua(wengne ulewa wao mdogooooo) ila they shout to be heard as if ndo kumake point....
Wanaunguza hadi mboga jikoni kisa wako insta, whatsapp sijui fb F`Ck ......

hata huko ulaya bado mama ndio kichwa nyumba in term home staff hata kama wanasaidina na mume ila wa ndo mameneja nyumbani.....

Navyoelewa elimu siyo idadi ya madarasa au wingi wa vyeti mkuu, ndio maana wapo waliofika ngazi za juu za elimu ila bado wana uwezo mdogo wa kuchanganua mambo, na vice versa. Inahitaji uelewa kujua equal is not identical, pia watu wa kujihusisha nao na namna ya kujihusisha nao. Uliowazungumzia wanaangukia katika elimu ndogo bado.
 
Kadem kakienda six direct bila kukwama kwama kanakua kasumbufu sana kwe mahusiano.... vinajufanyaga much know kinoma.... ila waliokwama kwama... mara form2 kwenda 3 alibahatisha, iyo form4 karudia mara2 au 3.... hawa kweli huwa wanaamua kujidedicate kuifanyia kazi familia.
 
Hahaha
 
Tena mnajenga familia vzuri sana, ila hawa ndugu zetu wanamaisha ya kucopy sana, mtu ana watoto 2 bado anataka umpeleke sinema.
 
Kadem kakienda six direct bila kukwama kwama kanakua kasumbufu sana kwe mahusiano.... vinajufanyaga much know kinoma.... ila waliokwama kwama... mara form2 kwenda 3 alibahatisha, iyo form4 karudia mara2 au 3.... hawa kweli huwa wanaamua kujidedicate kuifanyia kazi familia.

Only in bongo unaweza kusikia mtu anashabikia kuoa mbumbumbu. Sasa hao watoto akikuzalia zero brain utamlaumu nani? Utafilisika watoto kurudia darasa.hahah good luck
 
Ni Kweli hawajiamini. Eti wanadhani kutokuwa na ufahamu ndo heshima.

Kama unaoa mwanamke wenye elimu ndogo ili awe full time house girl na kutokuchallenge kitu chochote kwenye ndoa basi una maono mafupi na watoto wako huenda ukawanyima fursa ya kuwa na wazazi wote wawili wenye kuwasaidia kwenye mambo ya shule. Tafiti pia zinaonesha kuwa wazazi wote wawili wakiwa Wana elimu ya juu basi Hali ya familia inakuwa bora Zaidi.

Tatizo wanaume wengi mno mna uselfish fulani ya kutaka kuonekana mko juu sana na hamuwezi kukosolewa, na pia mnaona wanawake ni was sex , watoto na mambo ya nyumbani. Maono mafupi na mawazo ya kimasikini sana.
Seriously i like someone who we can challenge each other, we can urgue..Sio unakuwa na mtu hata hawez kukupa ushauri
 
Only in bongo unaweza kusikia mtu anashabikia kuoa mbumbumbu. Sasa hao watoto akikuzalia zero brain utamlaumu nani? Utafilisika watoto kurudia darasa.hahah good luck
Skia honieBee reiner, Walioishia la7 wengine sio kwamba ni mazero brain... ila ni mazingira(most of the time) lkn kwa kuwa baba unajua kwamba unataka watoto na mtu wa kuwaangalia na kuwalea(wasilelewe na housegirl) ni lazma upate mwanamke wa aina hiyo... jukumu la baba ni kuprovide kwa kila kitu.

Tulioo madem darasa la saba oyeeeee
 
KABISA ,
 
Oyeee
 
Sikumaanisha la saba Ni zero brain. Huyo juu ndo alikuwa anasema anapenda zero brain sababu so wagumu kuishi nao.
Mama wazazi wangu pia ni hiyo combo ya baba kumzidi mama elimu na Kuna mapungufu kuwa na mzazi ambae elimu iko chini kidogo sababu unakuta unafika mahali unashindwa kusaidia watoto kwenye mambo ya shule na kama baba hayupo then issue Ni kubwa Zaidi. Malezi Ni Zaidi ya kuhakikisha watoto wamekula na kuoga.
Mama siku si zero brain , she is the smartest woman I know Ila sometimes I wish angesome aiseee angekuwa Mbali mno, she has such vision and motivation. Men are intimated by women like this.
 
bora nichukue msomi mwenzangu ili tuwe tunatwangana mangumi,kuliko kuchukua mtu ambae kikosa kidogo anasema unanionea kisa mi sijasoma.
 
SOMA HAPA USIPUUZE

TAFITI IMEFANYIKA COLORADO KUHUSU NDOA AFRICA (WANAWAKE WA DARASA LA SABA MPAKA DIPLOMA WANAHESHIMU SANA NDOA)

Wanaume walio oa wanawake wenye elimu ndogo wanapata raha na furaha kwa ndoa zao

Inasemekana ukimuoa mwanamke wa elimu ya chini we ndo unakuwa mwalimu wake, hasa kama ukikapata ka darasa la Saba unakaandaa vema kwa matumizi ya baadae,

1995 hadi 2016 kumewepo na mkumbo wa watu kukutana vyuoni na kuona,

Ila matokeo yake
1.dharau kupandishiana sauti mbele ya watoto, wageni, na hata mbele ya wazazi kisa mko sawa kielimu na kipato,

2. Majukumu ya family yanakwepwa kiaina kusingizia kuchelewa ofisini,

3. Safari za mabosi na Mke wako kuhusu semina na vikao, mwanaume ndo anaanza majukumu, au house girl

4. Challenge za hapa na pale kuhusu ndoa na muda wa kuwa na ukaribu na familia haupo tena,

5. Inasemekana hata watoto wanaanza kukosa uangalizi, wa karibu,

Lakini ukimuona mtu anapata haya.chini jua kaoa mwanamke wa elimu ya chini kidogo yake

1.kumsikiliza mme analosema
2. Kuwaheshimu kila watu ambao anahis ndo wanasababisha mme wake aendelee kuwa kazin,
3. Hanyanyui kinywa mbele ya wazazi au watoto Kumkosoa mme live,

4. Anayewajibika nyumbani na kutimiza Majukum ya nyumbani,

5. Usafi wa mme nyumba na watoto,

6. Kudimisha uhusiano na majirani na wanawake wa vyama mbali mbali maana muda anao,

Kuna askofu mmoja Aliwahi nambia hivi

"Wasomi wengi mizigo huu ndo ukweli ambao ni mgumu kuusikia..wachache sana wamesoma na bado wana akili nzuri za kudumisha mahusiano we kama hutaki usumbufu,vurugu,kupandishiwa sauti mbele ya watoto wako ..oa mwenye elimu ya kawaida...ila kama unaa bahati unaweza kupata msomi anaejielewa na hapo ni bahati nasibu tu......sio kwa uwezo wako bali zali tu linakudondokea"

Akaendelea kusema hivi umuusishe MUNGU wakati nawe unachagua, wengi ambao wameshakosea kuchagua ukimbilia MKE MWEMA ULETWA NA MUNGU,

ILA KWA TAFITI ZA HARAKA FAMILIA ZENYE FURAHA WANAWAKE WANA ELIMU ZA KAWAIDA SANA,

Kabla hujanibishia pitia hapa
1.Elimu ya mwalimu Nyerere na ya mke wake,

2.kikwete na mkewe

3. Magufuli na mkewe
4. Lowasa na mkewe

5. Mwinyi
6. Mkapa
7. Professor baregu

Mnazani hao hawakuwaona wa ma degree waliosoma nao?

Nasema sema tu mi sijaoa hahahaha

Nimeikopi.sehem

ILA TUWE WAZI KUISHIA LA SABA HAIMAANISHI NI MBUMBUMBU NI MAZINGIRA HUPELEKEA, LAKINI KUENDELEA JUU ZAID HUJIFUNGA MENGI YSIYO MAZURI
Kweli kabisa mkuu
 
ignorance fallacy acha generalisations. Je una uhakika gani wana furaha? Au utafiti wako unafanya kwenye magazeti ya udaku. Mapenzi hayana elimu sema tu watu wana mawazo potofu. Elimu haibadilishi mwonekano, tabia na n.k ila ni mtu mwenye akiamu kubadilika. Hakuna uhusiano kati ya mapenzi na elimu.
 
Back
Top Bottom