Utafiti: Wanawake wa darasa la saba mpaka diploma wanaheshimu ndoa zao

Ni Kweli hawajiamini. Eti wanadhani kutokuwa na ufahamu ndo heshima.

Kama unaoa mwanamke wenye elimu ndogo ili awe full time house girl na kutokuchallenge kitu chochote kwenye ndoa basi una maono mafupi na watoto wako huenda ukawanyima fursa ya kuwa na wazazi wote wawili wenye kuwasaidia kwenye mambo ya shule. Tafiti pia zinaonesha kuwa wazazi wote wawili wakiwa Wana elimu ya juu basi Hali ya familia inakuwa bora Zaidi.

Tatizo wanaume wengi mno mna uselfish fulani ya kutaka kuonekana mko juu sana na hamuwezi kukosolewa, na pia mnaona wanawake ni was sex , watoto na mambo ya nyumbani. Maono mafupi na mawazo ya kimasikini sana.
Hao uliowataja wote ni 60++ kiumri. Wametokea kizazi ambacho wanawake walikuwa hawasomeshwi sana , kwahiyo mtu mwenyewe degree kuoa la saba au diploma ilikuwa Sawa tu.

Kwa kizazi hiki na uchumi huu, hiyo combination inaleta maana Kweli? Na wanaume kuheshimu ndoa inaendana na elimu au ni tabia ya mtu?

Wewe kama mzazi huwezi kumkatisha mtoto wako was kike masomo eti ile aheshimu ndo, that makes no sense na utachekwa sana tena sana. Kuheshimu ndoa ni tabia ya mtu, na heshima ya ndoa inabidi ikae Kwa wote wawili, wanaume na wanawake. Unaogopa wasomi sababu unajua msomi anajitambua na hatokaa kwenye ndoa na wewe kama hujiheshimu. Kama wajijua ni mdhaifu, stay away from wasomi.


The whole point ya mtu ku "Question" Elimu?!..
 
Wenye elimu kubwa wana (wabongo)overexegelate or misinterprete gender equality.................
They start unnecessary arguements tena hata vitu wasivyovijua(wengne ulewa wao mdogooooo) ila they shout to be heard as if ndo kumake point....
Wanaunguza hadi mboga jikoni kisa wako insta, whatsapp sijui fb F`Ck ......

hata huko ulaya bado mama ndio kichwa nyumba in term home staff hata kama wanasaidina na mume ila wa ndo mameneja nyumbani.....


Not right, wenye 'elimu kubwa' sidhani kama wanashinda insta, whatsapp, FB and the likes.
 
Not right, wenye 'elimu kubwa' sidhani kama wanashinda insta, whatsapp, FB and the likes.
Yaweza kuwa hawashind insta......
Ila kwa kifupi hiki kizazi tunakoelekea ndoa kudumu 10 years itakuwa ngumu sana, si kuwa nawatetea wanaume, ila ile sense ya wahenga mama ni kichwa cha familia wadada wengi sana wasasahivi hawana
 
Yaweza kuwa hawashind insta......
Ila kwa kifupi hiki kizazi tunakoelekea ndoa kudumu 10 years itakuwa ngumu sana, si kuwa nawatetea wanaume, ila ile sense ya wahenga mama ni kichwa cha familia wadada wengi sana wasasahivi hawana

Wanawake hawapewi heshima wanayostahili. Ndoa zilidumu Enzi zile sababu mama / bibi alikuwa hana Pa kuenda. Siku hizi wanawake Wana options, kisipoeleweka ya Nini kulazimisha?
 
SOMA HAPA USIPUUZE

TAFITI IMEFANYIKA COLORADO KUHUSU NDOA AFRICA (WANAWAKE WA DARASA LA SABA MPAKA DIPLOMA WANAHESHIMU SANA NDOA)

Wanaume walio oa wanawake wenye elimu ndogo wanapata raha na furaha kwa ndoa zao

Inasemekana ukimuoa mwanamke wa elimu ya chini we ndo unakuwa mwalimu wake, hasa kama ukikapata ka darasa la Saba unakaandaa vema kwa matumizi ya baadae,

1995 hadi 2016 kumewepo na mkumbo wa watu kukutana vyuoni na kuona,

Ila matokeo yake
1.dharau kupandishiana sauti mbele ya watoto, wageni, na hata mbele ya wazazi kisa mko sawa kielimu na kipato,

2. Majukumu ya family yanakwepwa kiaina kusingizia kuchelewa ofisini,

3. Safari za mabosi na Mke wako kuhusu semina na vikao, mwanaume ndo anaanza majukumu, au house girl

4. Challenge za hapa na pale kuhusu ndoa na muda wa kuwa na ukaribu na familia haupo tena,

5. Inasemekana hata watoto wanaanza kukosa uangalizi, wa karibu,

Lakini ukimuona mtu anapata haya.chini jua kaoa mwanamke wa elimu ya chini kidogo yake

1.kumsikiliza mme analosema
2. Kuwaheshimu kila watu ambao anahis ndo wanasababisha mme wake aendelee kuwa kazin,
3. Hanyanyui kinywa mbele ya wazazi au watoto Kumkosoa mme live,

4. Anayewajibika nyumbani na kutimiza Majukum ya nyumbani,

5. Usafi wa mme nyumba na watoto,

6. Kudimisha uhusiano na majirani na wanawake wa vyama mbali mbali maana muda anao,

Kuna askofu mmoja Aliwahi nambia hivi

"Wasomi wengi mizigo huu ndo ukweli ambao ni mgumu kuusikia..wachache sana wamesoma na bado wana akili nzuri za kudumisha mahusiano we kama hutaki usumbufu,vurugu,kupandishiwa sauti mbele ya watoto wako ..oa mwenye elimu ya kawaida...ila kama unaa bahati unaweza kupata msomi anaejielewa na hapo ni bahati nasibu tu......sio kwa uwezo wako bali zali tu linakudondokea"

Akaendelea kusema hivi umuusishe MUNGU wakati nawe unachagua, wengi ambao wameshakosea kuchagua ukimbilia MKE MWEMA ULETWA NA MUNGU,

ILA KWA TAFITI ZA HARAKA FAMILIA ZENYE FURAHA WANAWAKE WANA ELIMU ZA KAWAIDA SANA,

Kabla hujanibishia pitia hapa
1.Elimu ya mwalimu Nyerere na ya mke wake,

2.kikwete na mkewe

3. Magufuli na mkewe
4. Lowasa na mkewe

5. Mwinyi
6. Mkapa
7. Professor baregu

Mnazani hao hawakuwaona wa ma degree waliosoma nao?

Nasema sema tu mi sijaoa hahahaha

Nimeikopi.sehem

ILA TUWE WAZI KUISHIA LA SABA HAIMAANISHI NI MBUMBUMBU NI MAZINGIRA HUPELEKEA, LAKINI KUENDELEA JUU ZAID HUJIFUNGA MENGI YSIYO MAZURI
Uko Sawa mkuu ila daaah,,, mi mwenyewe la sita nkaoe mbumbumbu mwenzangu ? Hapana mi natafuta mwenye advaced diploma, degree na zaidi

Kwanza sio ombaomba
Pili wengi wapo classic
Tatu nikiwamba ntawaegemea
Nne mpaka kunikubali mi mbumbumbu atakua kanipenda kweli
Tano, mbumbumbu mwenzangu kunikubalia itakua sababu ni ugumu wa maisha na sio upendo
Sita sio wambea wengi wanaheshimu privacy zao japo wanaanika miili yao
 
Eti adam na eva walikuwa na degree ya mapenzi? Mapenzi hayana degree, diploma, certificate, darasa la saba wala vidudu.
 
Kuna siku niliongea na dada mmoja ambaye tulikuwa tuna ukaribu sana tu , akanieleza masuala kama ya mtoa mada tena alikuwa ni mdada niliyekuwa nikisoma naye chuo
 
Mwanaume machine tu na Pesa ndiyo vitakupa heshima kwa Mwanamke haijalishi wa Diploma au Degree ni Pesa , Pesa ,Pesa , Mashine , Mgegedo , yaani Mashine mtamu baaasi zingine mbwembwe tu na kutokujiamini.


Me Sweet
 
Yaweza kuwa hawashind insta......
Ila kwa kifupi hiki kizazi tunakoelekea ndoa kudumu 10 years itakuwa ngumu sana, si kuwa nawatetea wanaume, ila ile sense ya wahenga mama ni kichwa cha familia wadada wengi sana wasasahivi hawana


Na hicho kizazi wanawake walikuwa taken advantage of, sana tu ukilinganisha na sasa.
Na pia tukumbuke kuangalia/kutafuta kama kuna tatizo pande zote mbili.
Kwa nini wakati wote huwa mnaangalia na kulalamikia upande mmoja tu wa wanawake linapokuja hili swala?!, nakata kuamini kuwa tatizo huwa upande wa mwanamke pekee kila wakati.
Kuna wanaume walio na wasio na elimu wasioheshimu ndoa zao.
 
Skia honieBee reiner, Walioishia la7 wengine sio kwamba ni mazero brain... ila ni mazingira(most of the time) lkn kwa kuwa baba unajua kwamba unataka watoto na mtu wa kuwaangalia na kuwalea(wasilelewe na housegirl) ni lazma upate mwanamke wa aina hiyo... jukumu la baba ni kuprovide kwa kila kitu.

Tulioo madem darasa la saba oyeeeee
Pia nadhani nyumba inakuwa na utulivu zaidi ukiwa na mwanamke ambae kielimu yuko chini yako, hawezi kukutunishia misuli kama hawa wanaojiona wasomi!
 
Ukweli ni mtamu ila kwa wengine umekuwa shubiri.....povu povu povu......
 
Mke bora ni mwenye akili,ufahamu & hekima...hayo mengine yote mnajifariji tu.



Elimu ni kama pesa haimbadilishi mtu kamwe bali hu-amplify tabia ambazo tayari mtu anazo!
 
Mimi nmesoma na Nina kidgree kimoja ila nilishaapa stamuoa mwanamke ambae hana degree. Nmesoma na kupata machungu ya elimu iweje niishi na zezeta kisa heshima za uoga na unafiki!! Kwanza nkipata demu uneducated huwa sikai nae zaidi ya two weeks maana huwa nawadharau sana na break ups zinatokea. Dunia ya sasa unawapigia debe wanawake waliofeli shule wakati tunataka 2050 kila mtanzania awe na degree au hata 95%. Sasa watatoka wapi hao wife material unaowataka. Acha uoga oa mwanamke anaejitambua mwenye akili ili mpambane kutafuta maisha. Kwa utafiti wako ungeenda mahakaman kuuliza kesi nyingi za ndoa na divorces ni za watu wa elimu gani. Ndo nyie ukifa ghafla watoto wanaachwa na mwanamke anaenda kuolewa kitu ambacho graduate hawezi kufanya. We nae ni kilaza nn!!
hii zambi basi mutuwowe tu na la Saba letu.
 
Back
Top Bottom