The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Wela wela Bye Bye CHAMA CHA MAJÁNGIRI. Bendera yenu ya CCM tutaitundika makubusho jirani na Millenium Tower!!
Mkuu,
Hapo umepewa tu kwa ufupi. Riport kama hizi huwa ni ndefu sana kwani wanaweka wastani kwa wato wote kwanza na hapo wanakuja kuanza kuweka wastani katika makundi madogomadogo kwa mfano:
1. CCM watakaomchagua Slaa.
2. Akina mama wote au makundi yake.
3. Wastani kwa watu wote wanaoweza kupiga kura.
4. Wastani kwa watoto chini ya umri wa kupiga kura (hapa zaidi utajua Wazazi wako upande gani).
5. Wastani kwa Wasomi na wasiosoma, Wakulima na wafanyakazi / Wanafunzi, Wamjini na wavijijini nk.
Itakuwa heri kufanya subira ili kuuona riport nzima maana sidhani hao watoto wa chini ya darasa la saba nao watakuwa wamehesabiwa kwenye idadi ya mwisho ya Wapiga kura. Nyingine zipo zaidi ili kujua mwenendo wa kisiasa kwa watoto (inaleta picha halisi kujua wazazi wako upande gani maana mara nyingi wazazi wanawa-influence watoto).
Hata hawa TCIB ninawatilia mashaka makubwa sana. Mimi siamini Dr. Slaa atapata 42% Dar.........Minimum there itakuwa 65%.
Amesema Dr. Willbod Slaa ameongoza kwa asilimia kubwa katika mikoa ya Kilimanjaro 71%, Arusha 60.4%, Manyara79.8%, Iringa58.2% na Dar es salaam 42% ambapo Jakaya Kikwete ameongoza kwa asilimia kubwa katika mikoa Dodoma 59.3%, Morogoro 56%, Mbeya50%, Rukwa54.3% na Ruvuma 55%.
katika utafiti huo silimia kubwa ya vijana wamonekana kuunga mkono mgombea urais wa CHADEMA Wllbrod Slaa na asilimia kubwa ya wazee wameonyesha kumuunga mkono mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete.
Aidha Dr. Vicent Leyaro amesema washiriki katika kura hii ya maoni ni 3047 wenye wasifu wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na watoto chini ya darasa la saba, elimu ya sekondari na elimu iliyo juu ya sekondari
Matokeo wameyatoa leo?
Kwa vyombo vya habari uu ndo tungoje usiku kwa news manake iyo nayo yaitaji publcity.Angalau samle ni ya zaidi ya watu 3000
Nilichofurahi ni kuona kwa mara ya kwanza wanaCHADEMA KIMSINGI WANAKUBALI matokeo ya tafiti japokuwa idadi ya washirikishwa ni 3047.
Thanx God for answering our prayers. Redet and Synovate are good at cooking data...........
Aidha Dr. Vicent Leyaro amesema washiriki katika kura hii ya maoni ni 3047 wenye wasifu wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na watoto chini ya darasa la saba, elimu ya sekondari na elimu iliyo juu ya sekondari ambapo katika utafiti huo silimia kubwa ya vijana wamonekana kuunga mkono mgombea urais wa CHADEMA Wllbrod Slaa na asilimia kubwa ya wazee wameonyesha kumuunga mkono mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete
View attachment 15350
Kutoka kushoto ni Mhadhini kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Uchumi Dr.Vicent Leyaro akizungumza na waandishi wa habari katika Hotel ya Courtyard juu ya utafiti wa (TCIB) akiwa na mwakilishi wa Mkurugenzi wa (TCIB) Bw. Steven Msechu.
Na.Mwandishi wetu.
[
Aidha Dr. Vicent Leyaro amesema washiriki katika kura hii ya maoni ni 3047 wenye wasifu wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na watoto chini ya darasa la saba, elimu ya sekondari na elimu iliyo juu ya sekondari ambapo katika utafiti huo silimia kubwa ya vijana wamonekana kuunga mkono mgombea urais wa CHADEMA Wllbrod Slaa na asilimia kubwa ya wazee wameonyesha kumuunga mkono mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete.[/COLOR]
Hata hawa TCIB ninawatilia mashaka makubwa sana. Mimi siamini Dr. Slaa atapata 42% Dar.........Minimum there itakuwa 65%.
Mikoa ya Mbeya na Rukwa JK kamwe hawezi kushinda. Kwa hiyo TCIB wamechemsha mno.
Nimejaribu kuifungua hiyo tovuti sijafanikiwa lakini kichwa cha habari hakioani na takwimu zako.
Takwimu za mgawanyiko wa kura za vijana kwa wazee zipo bubu juu ya takwimu halisi wakati ambapo matumizi ya maneno ya "asilimia kubwa" au "kiwango kikubwa" hayatoi picha halisi kati ya wagombea hao wawili...
Takwimu hizi zisije kuwa janja ya nyani ya baadaye CCM kusema vijana kweli walikuwa wanamuunga mkona Dr. Slaa lakini hawkujiandikisha na ndio maana hakushinda.
Vile vile angalizo kuna sababu gani yakukusanya takwmiu za watoto ambao hawapigi kura?
Hakuna mahali ambapo Dr. Slaa na JK wamelinganishwa ki-inchi nzima ili mtu uweze kufikia hatua ya kusema Dr. Slaa kushinda kwa kishindo hasa ukizingatia tuna mikoa zaidi ya ishirini na hii mifano ya mikoa kumi tu wakati ushindi umeshikiliwa na mikoa kumi na tano na tofauti zao sio za kutisha naona hakuna takwimu za kufanya hitimisho za aina yoyote ile.
Please furnish us with more details or you have wasted our precious time.
Mama yangu! Taaluma ya utafiti sasa imebakwa vilivyo. Hata watoto wa CHINI ya darasa la SABA (sijui ni vidudu au chekechea?) walishiriki katika kura hii?
Naona MOD kaamua tu ai-move hii TOPIC kuepusha AIBU kwa chadema na kwa JF vilevile.
Scan and paste into web