Utafiti wa TCIB: Dk. Slaa aongoza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti wa TCIB: Dk. Slaa aongoza

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by AK-47, Oct 15, 2010.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Tanzania Citizen's Information Bureau (TCIB) na kutolewa leo umeonyesha Dk Slaa anaongoza kwa asilimia 45, JK asilimia 41,Prof. Lipumba asilimia 10, Hashim Rungwe 2, Peter Mziray 1 na Mutamwega 1.

  Utafiti huu umefanyika kwenye mikoa 15 iliyochaguliwa kwa njia ya kinasibu (random sampling ) na kwenye jimbo moja katika kila mkoa wananchi kati ya 60 na 100 walihojiwa. Utafiti umefanywa ndani ya mwezi huu na kutolewa leo Jijini Dar es Salaam.

  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Tuwekee copy hapa tuusome plz
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Dr Slaa anastahili apate 60-70% Jk 10% etc labda sampling ilikuwa ndogo
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nina hard copy tu nimeipata kwa mtu sina soft copy
   
 5. J

  Jafar JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Source please !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,365
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  akija mwingine kufanya utafiti atasema dr.slaa 65% kikwete 20%.........nk........iko wazi na kila mtz hamtaki kikwete isipokuwa mafisadi,na familia yake kwani hata marafiki zake wamemtosa sasa.......DR.SLAA 4CHANGE!
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  scan basi, au una hard copy ya scaner tu pia (joking)
   
 8. J

  Jafar JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Scan and paste into web
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,365
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Lkn wametangaza lini na wapi?
   
 10. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tupe copy kaka, hio ni kitu muhimu sana.
   
 11. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wametangaza wapi,
   
 12. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0

  clip_image002.jpg
  Kutoka kushoto ni Mhadhini kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Uchumi Dr.Vicent Leyaro akizungumza na waandishi wa habari katika Hotel ya Courtyard juu ya utafiti wa (TCIB) akiwa na mwakilishi wa Mkurugenzi wa (TCIB) Bw. Steven Msechu.

  Na.Mwandishi wetu.

  Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na kutoa utafiti wa taarifa mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha wananchi maamuzi kwa uelewa la Tanzania Citizens Information Bureau (TCIB) limetoa taarifa ya matokeo ya utafiti wa kura ya maoni kuhusu wagombea urais 2010.

  Akizungumza na waadishi wa habari Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es salaam idara ya Uchumi Dr. Vicent Leyaro amesma malengo ya TCIB ni kutoa msukumo kwa wananchi kushiriki katika harakati za kulinda na kendeleza misingi ya Demokrasia, Kutoa fursa kwa wananchi katika kutoa maoni yao juu ya mambo mbalimbali katika maisha na kujenga uwezo wa wananchi kwa njia ya tafiti na elimu katika nyanja za serikali, siasa, Mambo ya Kimataifa, ulinzi, elimu na maadili.

  Aidha Dr. Vicent Leyaro amesema washiriki katika kura hii ya maoni ni 3047 wenye wasifu wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na watoto chini ya darasa la saba, elimu ya sekondari na elimu iliyo juu ya sekondari ambapo katika utafiti huo silimia kubwa ya vijana wamonekana kuunga mkono mgombea urais wa CHADEMA Wllbrod Slaa na asilimia kubwa ya wazee wameonyesha kumuunga mkono mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete.

  Amesema Dr. Willbod Slaa ameongoza kwa asilimia kubwa katika mikoa ya Kilimanjaro 71%, Arusha 60.4%, Manyara79.8%, Iringa58.2% na Dar es salaam 42% ambapo Jakaya Kikwete ameongoza kwa asilimia kubwa katika mikoa Dodoma 59.3%, Morogoro 56%, Mbeya50%, Rukwa54.3% na Ruvuma 55%.

  Akihitimisha wakati akijibu maswali kwaa waandishi wa habari Dr. Vicent Reyaro amesema utafiti haukuangalia wala kupendelea sehemu ambazo mtu anapendwa sana kuliko sehemu nyingine na uchambuzi wa matokea kimkoa yanaonyesha kuwa wagombea wawili Jakaya Kikwete na Dr. Willbrod Slaa wanachuana vikali baadhi ya mikoa na mikoa mingine kufanya vibaya.

  Hata hivyo utafiti huu wa kura ya maoni kuhusu wagombea urais hauukufanyika kwa upande wa Zanzibar japokuwa wananchi wa Zanzibar wanashiriki katika kupiga kura ya kuchagua rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wamekosea jk ana ubavu wa kumkaribia dr slaa kwa karibu ivyo
   
 14. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Kutoka kushoto ni Mhadhini kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Uchumi Dr.Vicent Leyaro akizungumza na waandishi wa habari katika Hotel ya Courtyard juu ya utafiti wa (TCIB) akiwa na mwakilishi wa Mkurugenzi wa (TCIB) Bw. Steven Msechu.

  Na Mwandishi wetu

  Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na kutoa utafiti wa taarifa mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha wananchi maamuzi kwa uelewa la Tanzania Citizens Information Bureau (TCIB) limetoa taarifa ya matokeo ya utafiti wa kura ya maoni kuhusu wagombea urais 2010.

  Akizungumza na waadishi wa habari Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es salaam idara ya Uchumi Dr. Vicent Leyaro amesma malengo ya TCIB ni kutoa msukumo kwa wananchi kushiriki katika harakati za kulinda na kendeleza misingi ya Demokrasia, Kutoa fursa kwa wananchi katika kutoa maoni yao juu ya mambo mbalimbali katika maisha na kujenga uwezo wa wananchi kwa njia ya tafiti na elimu katika nyanja za serikali, siasa, Mambo ya Kimataifa, ulinzi, elimu na maadili.

  Aidha Dr. Vicent Leyaro amesema washiriki katika kura hii ya maoni ni 3047 wenye wasifu wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na watoto chini ya darasa la saba, elimu ya sekondari na elimu iliyo juu ya sekondari ambapo katika utafiti huo silimia kubwa ya vijana wamonekana kuunga mkono mgombea urais wa CHADEMA Wllbrod Slaa na asilimia kubwa ya wazee wameonyesha kumuunga mkono mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete.

  Amesema Dr. Willbod Slaa ameongoza kwa asilimia kubwa katika mikoa ya Kilimanjaro 71%, Arusha 60.4%, Manyara79.8%, Iringa58.2% na Dar es salaam 42% ambapo Jakaya Kikwete ameongoza kwa asilimia kubwa katika mikoa Dodoma 59.3%, Morogoro 56%, Mbeya50%, Rukwa 54.3% na Ruvuma 55%.

  Akihitimisha wakati akijibu maswali kwaa waandishi wa habari Dr. Vicent Reyaro amesema utafiti haukuangalia wala kupendelea sehemu ambazo mtu anapendwa sana kuliko sehemu nyingine na uchambuzi wa matokea kimkoa yanaonyesha kuwa wagombea wawili Jakaya Kikwete na Dr. Willbrod Slaa wanachuana vikali baadhi ya mikoa na mikoa mingine kufanya vibaya.

  Hata hivyo utafiti huu wa kura ya maoni kuhusu wagombea urais hauukufanyika kwa upande wa Zanzibar japokuwa wananchi wa Zanzibar wanashiriki katika kupiga kura ya kuchagua rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Chanzo:
  Changamoto
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nakwambia hawa ccm watahairisha uchaguzi
  take my word
   
 16. minda

  minda JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wangetoa matokeo ya jumla nchi nzima au walau kwa mikoa waliofanyia utafiti ili kutoa taswira kama walivyofanya wenzao wa:

  • redet
  • synovate
  • mwanahalisi
  • jamiiforums
  • dailynews
   
 17. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Huu utafiti nao ni dhaifu sawa tu na ule wa Benson Bana. Watoto chini ya darasa la saba wanapiga kura? Na bado hajatuambia hao wa shule ya msingi ni wangapi, tusishangae kusikia ni 50% of the sample! Kumbe Benson Bana hayuko peke yake!
   
 18. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Thanks
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hapo sawa!
   
 20. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nadhani taasisi hii utafiti wake unaweza ku-reflect kaukweli fulani kuliko wale Sinto-vote na Redirty ambao inaonyesha kabisa kuwa kuna biaseness na kuingiliwa kiana fulani na Serikali. Hata tofauti baina ya wagombea watatu Dk Slaa, Kikwete, na Prof Lipumba si mkubwa sana na hiyo ni hali halisi hata katika mahudhurio ya watu kwenye kampeni za Dk Slaa na Kikwete.

  Utafiti huu nauamini zaidi. Viva TICB!
   
Loading...