Utafiti: Taifa linaangamia na Ushoga ( Picha )

Utafiti: Taifa linaangamia na Ushoga ( Picha )

Na mikoa ya Tanga na Dodoma, jingine limenishingaza ni mikoa Kama Arusha, Moshi na Mwanza. Ina kiwango cha kutisha cha vitendo hivi.
Hivi unavyosema utafiti unaonesha hiyo mikoa hasa Arusha na Moshi ndio inakiwango cha juu kwanza unaelewa maana ya utafiti Mr??? na gharama za kufanya utafiti na kupata data sahihi za kusema maeneo hayo ndiyo yanayoongoza lazima ufanye utafii nchi nzima then ufanye comparison baina ya maeneo yenye viwango vikubwa na vidogo.
Je huo utafiti umeufanya lini na kwa njia gani na riport yake iko wapi???
sio unakaa na simu yako hapo sebuleni na kuperuzi social networks kwa bando ya jero alafu unasema eti utafiti unaonesha!! hizo ni assumptions zako tu.

Hili ni swala la aibu sana so unapotolea maamuzi uwe makini sana

sasa unavyopotosha watu na kusema Arusha na Moshi inaongoza inawezekana umeangalia kwenye facebook na ujue maeneo yenye watumiaji wa internet ni mijini na ni maeneo yaliyoendelea na issue kama hii haijalishi kuhusu hilo sana sababu sio mashg wote wana access na mitandao au kujitangaza.

sasa weweunapokuja kutuletea pumba zako hapa na kudai eti mikoa ya Arusha na Moshi ndio inaongoza kwa huu ushetani nakushangaa sana sababu me ni mwenyeji wa haya maeneo na sema kweli ushg nausikia sikia lakini sio kama hayo maeneo yaliyozungukwa na bahari na sio kama huko Dar kwenye magroup kabisa yanayofahamika na nyie mnayatazama tu ingekuwa ni Arusha hatua za kivitendo zingekuwa zimechukuliwa kitambo.
 
Anti-gay bill vipi hapa kwetu?? Tatizo Jk yeye kucheka tuu na uoga. Uganda mbona kimya??
 
Ushoga uko Mombasa, huko hatari kuna Wale mashoga wa kimanga wazuri kuliko baadhi ya wanawake, halafu serikali haichukui action yoyote.
 
Ushoga si jambo jipya. Ulianza Sodoma & Gomola. Leo ni marudio! Dhambi hii leo inapakwa "rangi".Maovu yote ni Chekeche,kama 2nampenda MUNGU au sins! 2tanaswa nazo if,ha2tatubu dhambi ze2 zote, na kupata uwezo kushinda dhambi.NI YESU TU, MWOKOZI WE2!
 
2 COR 4:3-4, Shetani amewapofusha wa2 fikra zao.Na wengi wanao-practice USHOGA, ni viongozi ktk jamii (ninamaanisha), sasa 2nafanyaje? 2cjione maisha ye2 2nayaweza bila YESU! Shetani ac2swage kama ng'ombe,2shituke! "DONT BELEAVE IN SINS".KAZI KWENU!
 
Watoto wa kiume wanaozaliwa kipindi hk wanakaz tunahitaj maombi
 
Hivi unavyosema utafiti unaonesha hiyo mikoa hasa Arusha na Moshi ndio inakiwango cha juu kwanza unaelewa maana ya utafiti Mr???

Hili ni swala la aibu sana so unapotolea maamuzi uwe makini sana

sasa weweunapokuja kutuletea pumba zako hapa na kudai eti mikoa ya Arusha na Moshi ndio inaongoza kwa huu ushetani nakushangaa sana sababu me ni mwenyeji wa haya maeneo na sema kweli ushg nausikia sikia lakini sio kama hayo maeneo yaliyozungukwa na bahari na sio kama huko Dar.
Ndg yangu hasason.....kuwa mpole usikie....Dar ni jiji na ni mkusanyiko wa watu takriban mikoa yote ya nchi,ss ukipita mitaani kwenye watu wa tabia hizo ndugu yangu amini maneno yake Kambitza.....wachaga mpo juu,tembelea Kino,Conner Bar Ambiance,kimboka n.k ukitoa wale kina "Aunty Bilali" basi wanaufuta kina mushi yesuuu nakuambia.Kwa hiyo si kutukana kabila wala nini ni fact iliyowazi,ni kweli ni vitendo vya kuudhi na aibu lkn vipo kwenye jamii zetu na kwa kiwango cha kutisha
 
Ushoga uko Mombasa, huko hatari kuna Wale mashoga wa kimanga wazuri kuliko baadhi ya wanawake, halafu serikali haichukui action yoyote.

Bila Aibu unasifia dume jenzio zuri kuliko mwanamke?ptuuuuuuuu.......no wonder ur among them
 
Ndugu yangu kinondoni saivi ndo hatari yani hakufai kama katika hizo picha uyo shoga ambaye ndo mtoto kuliko wote anakaa maeneo ya studio tena kuna shoga moja ndo kubwa lao linaitwa aggrey karibia kinondoni nzima wanamjua ndo anawafuga hao wengi kawatoa moshi kwasababu uyo aggrey ni mwenyeji wa moshi so vijana wengi wadogo anawatoa moshi anawaleta kinondoni kuwafanyisha biashara

Umechukua hatua gani baada ya kulifahamu hilo ndugu yangu?maana kama anatoa vitoto moshi kuja kuvifundisha ushoga hmm inatisha jaman
 
Ndugu yangu kinondoni saivi ndo hatari yani hakufai kama katika hizo picha uyo shoga ambaye ndo mtoto kuliko wote anakaa maeneo ya studio tena kuna shoga moja ndo kubwa lao linaitwa aggrey karibia kinondoni nzima wanamjua ndo anawafuga hao wengi kawatoa moshi kwasababu uyo aggrey ni mwenyeji wa moshi so vijana wengi wadogo anawatoa moshi anawaleta kinondoni kuwafanyisha biashara

Umechukua hatua gani baada ya kulifahamu hilo ndugu yangu?maana kama anatoa vitoto moshi kuja kuvifundisha ushoga hmm inatisha jaman na waliomzunguka huyo agrey wanalichukuliaje hili?action gan zimechukuliwa maana kukaa chini na kulalamika sio.suluhu
 
inasikitisha sana,ila ndio yashatokea na yanaendelea kutokea.
 
Ndg yangu hasason.....kuwa mpole usikie....Dar ni jiji na ni mkusanyiko wa watu takriban mikoa yote ya nchi,ss ukipita mitaani kwenye watu wa tabia hizo ndugu yangu amini maneno yake Kambitza.....wachaga mpo juu,tembelea Kino,Conner Bar Ambiance,kimboka n.k ukitoa wale kina "Aunty Bilali" basi wanaufuta kina mushi yesuuu nakuambia.Kwa hiyo si kutukana kabila wala nini ni fact iliyowazi,ni kweli ni vitendo vya kuudhi na aibu lkn vipo kwenye jamii zetu na kwa kiwango cha kutisha
Huko dar sisemei maana siwajui ila anaposema eti maeneo ya Arusha na Moshi hali ni ya kutisha kupindukia maana yake ni kwamba angalau kila mtaa kuna shg jambo ambalo sio kweli hata kidogo haya maeneo nayajua ndani na nje sikatai upo

kwa kusikia lakini binafsi sijawahi kumuona shoga labda wale watoto ambao wanatabia za kike hormonal imbalance tena huwa wanatupiwa jicho haswa lakini kama mnavyosema huko dar kuna magroup kabisa tena na majina mnawajua ingekuwa ni huku sielewi ingekuwaje.
 
We umesema picha nyingine zipo na wazaz wao sa mbona cjawaona hapa? We tatizo unawatangaza kimtindo
 
Wewe ulijuaje hayo makundi kwenye Facebook? Dah utakuwa ulikuwa unawatafuta hao mashoga sio bure mkuu.

Kama alivyosema mtoa mada, kwenye faceBook nilikuwa na marafiki ambao waliniadd kwenye magroup ya ajabu ajabu! nilipogundua nikawadelete na kujiondoa kwenye magroup hayo. Halafu vilevile kama ukishajiunga na hayo magroup facebook automatically inakuletea "suggested group" ambazo zinafanana fanana na group ambalo ulikuwepo au upo. Mkuu mi sipo huko kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom