Utafiti: Taifa linaangamia na Ushoga ( Picha )

kambitza

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
1,942
2,000
Nilikuwa nafanya utafiti kuona faida na hasara za mitandao ya kijamii nimeshindwa kuendelea nao baada ya mambo niliyokutana nayo kushindwa kuyavumilia.

Ni mambo mazito lakini kwa kuwa sote tunaitakia mema nchi yetu, Nimeona ni bora niyalete hapa jukwaani ili sote kwa pamoja tujadiliane nini cha kufanya mambo yasiharibike zaidi.

Ndugu zangu suala la USHOGA sasa limeshika kasi ya ajabu katika nchi yetu kiasi cha kufanya watu wenye Tabia hizo kujiweka wazi kabisa. Kilichonisikitisha zaidi wengine ni watoto wadogo waliotakiwa kuwa mashuleni muda huu.

Ninachojiuliza: Hawa ni watoto wadogo na wana wazazi!!!. maana nimeona baadhi ya sehemu katika picha zao wakiwa na wazazi wao. Je Wazazi wao wameridhia vitendo vya watoto wao??? Maana kwa jinsi walivyojiweka wazi kuna asilimia chache Sana za kunifanya niamini wazazi hawajui kinachoendelea.

Kwakweli ndugu zangu USHOGA ni jambo baya Katika nchi yetu na dunia Kama ilivyo UFISADI na mambo mengine yanayopigiwa kelele kila siku, Ukimya wetu kwenye hili na ubabe Wa kimyakimya kupinga lisiongelewe na kupingwa kwa uwazi kwa kisingizio cha uzalilishaji ni Kama njia moja wapo ya kubariki mambo haya yaliyojaa laana kwenye nchi yetu yazidi kupata nafasi ya kuwaingia hadi wadogo zetu.

Nimeambatanisha Picha na wanavyovijadili.

Kwa muda huu ngoja niishie hapa na nimewawekea na picha ili mnielewe kwa mapana. Tafadhari mods msiondoe hii sote tuwe name hofu ya mungu. View attachment 160533
 

Attachments

 • 1401048345837.jpg
  File size
  72.2 KB
  Views
  4,428
 • 1401048369809.jpg
  File size
  87.9 KB
  Views
  4,305
 • 1401048397327.jpg
  File size
  67.5 KB
  Views
  4,086
 • 1401048422653.jpg
  File size
  66.3 KB
  Views
  3,961
 • 1401048443156.jpg
  File size
  65.6 KB
  Views
  3,847
 • 1401048466614.jpg
  File size
  55.6 KB
  Views
  3,876
 • 1401048487694.jpg
  File size
  81.3 KB
  Views
  4,079

Possibles

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
1,523
2,000
Nadhani hatukujiandaa kikamilifu kukabiliana na madhara ya utandawazi.
Nakumbuka kipindi kile Mkapa ni Rais alishawahi kuhutubia kuwa utandawazi hauna budi kuja lakini nchi masikini na zinazoendelea hazina budi kujiandaa kuingia kwenye utandawazi vizuri kwa kuyafuata mazuri.
Hii ni moja ya madhara ya kufakamia utandawazi pasipo kuamua ni mambo yepi haswa yanapaswa kuifikia jamii.
 

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
336
0
Haya mambo yamezidi hapa nchini! wanajionesha bila hata kuficha sura zao...imebidi leo usiku nifuatilie jambo hili nimegundua kuna maelfu ya mashoga mjini Dar es salaam na Zanzibar ambao husafiri ndani na nje ya nchi kutafuta wateja! wengine wanajiita ma bottom wengine ma top..sijui maana yake nini hapa! wana mama yao anaitwa "Shoga Bikra"ukimtafuta facebook utajionea ujinga wote

Mtafutenu facebook mama yao huyo kisha mrudi tujadili upya hapa Jf
 

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
551
195
Duh kweli hali no mbaya sana. Huko tuendako c pazuri inabidi tukazane kusali sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom