Picha za kawaida sana hakuna ushoga hapo ni mawenge tu ya adolesence
ushoga uko wapi mkuu?
Picha za kawaida sana hakuna ushoga hapo ni mawenge tu ya adolesence
Magomeni, ndo makao yao makuu ki taifa.
Tokomeza magomeni
Okoa Taifa
Wilaya ya Kinondoni hasa Mwananyamala, Vijana karibu na zile bar za Jacaranda ndiyo inaonekana kundi kubwa la watoto linaangamia.
Aiseeeeee!!!
Hivi kwa nini wasiangamizwe wote tu hawa?
Kadri wanavyozidi kuwepo na hatari ya wengine kuingia huko inaongezeka