Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Bora panya, mbwa, nguruwe wanavyovuta hewa kuliko uwepo wa hawa mashoga
Yaah nilikua nakutafuta nikuulizie vipi kuhusu lile ombi langu? Umefikia wapi? Plizzz Bhanunu i know how to play nice,take my word i will not hurt.Unanitafuta sio
Sent from Iphone
Yaah nilikua nakutafuta nikuulizie vipi kuhusu lile ombi langu? Umefikia wapi? Plizzz Bhanunu i know how to play nice,take my word i will not hurt.
Nime kudhalilisha kwa lipi hapo Bhanunu? acha ukali bana mwenzio nakujali sana tafadhali usinitupe.Mods naomba umfungie Chinga One kwa hii post yake ya kunizalilisha member wako ahsante
Sent from Iphone
Hili suala si geni na miaka kumi iliyopita nilkuta shoga kijijini kilometre mia tatu toka Dar na kijiji kizima wanajua.Hawa ni watoto Wa Tanzania. Haya mambo yasifumbiwe macho. Hali hiiiiii kweli!!!!!!!
Naamanisha ya kuwa si jambo jipya na limekuwepo miaka mingi na limeenea mno kuliko tuonavyo leo.Eheeeeèeee?? Unamaaanisha?
Naamanisha ya kuwa si jambo jipya na limekuwepo miaka mingi na limeenea mno kuliko tuonavyo leo.
Nimesoma Lumumba shule ya msing hapo mnazi mmoja Dar early 70s na nakumbuka kuna mtu alikuwa anakuja kwenye hotel ya mwarabu jirani na shule na watu wakimwita Farook,tukiuliza kwa nini kajiremba kama mwanamke tuliambiwa anaolewa na wanaume wenzie.

Ooyooo naona hii laaaana ni kwa ajili ya umasikini wa wazazi wao kutowapa matumizi mazuri na huyo kijana huwa na mapenzi ya vitu vya anasa na vya Gharama na ndo huwa ana ushawishi wa kufanya hiyo laana eli akjikimu na matamanio ya vikorokoro vyake na likiwa zee basi hapo huwa ni majuto ni mjukuuuu hapo tena wapi na maji ya kimwagika huwa hayazoliki na sijui hayo maaineo hana viongozi wa chama na kiserikali au wapo biizy na masilai yao ni masikitiko na huzuni kubwa