1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,389
- 3,285
ha ha ha haaa eti "ukichukia zaidi kantangazeeeee" kaazii kweli kweli.
haha haha hahaha hååa!!
Ndo kesha tangazwa sasa hapa town.
vina maneno ya kike hivi vi se*ge.
ha ha ha haaa eti "ukichukia zaidi kantangazeeeee" kaazii kweli kweli.
Magomeni, ndo makao yao makuu ki taifa.
Tokomeza magomeni
Okoa Taifa
Mahakama ya kadhi ndiyo dawa ya hii kitu!
Kwa hyo uliingia mtandaoni kutafuta picha za mashoga?
Hapa jf tunao hawa.
Boflo.
Mpole sana.
Secret.
Kuna ubabe wa kimya kimya wa watu wasiotaka haya yajadiliwe kwa uwazi mkuu.
Na wewe ukaingia JF kuziangalia??
Watu wengine sijui vipi
Si kasema hapo juu kwamba alikuwa anafanya utafiti mtandaoni
Hahahaha, ufanye utafiti wa mapunga?
Tatizo hili.... Hehehehe duuuh!!.
Mkuu hivi umesom vizuri mleta mada alichoandika?
Amesema alikuwa anafanya utafiti kuhusu hasara za mitandao ya kijamii na sio mapunga, lakini katika utafiti huo ndo amekutana na hao mapunga.
Halafu kitu kingine unachotakiwa kujua ni kwamba utafiti unaweza kufanyia kitu chochote muhimu ufuate hatua sahihi za utafiti.
Naunga mkono operesheni Tokomeza magomeni
Nilikuwa nafanya utafiti kuona faida na hasara za mitandao ya kijamii nimeshindwa kuendelea nao baada ya mambo niliyokutana nayo kushindwa kuyavumilia.
Ni mambo mazito lakini kwa kuwa sote tunaitakia mema nchi yetu, Nimeona ni bora niyalete hapa jukwaani ili sote kwa pamoja tujadiliane nini cha kufanya mambo yasiharibike zaidi.
Ndugu zangu suala la USHOGA sasa limeshika kasi ya ajabu katika nchi yetu kiasi cha kufanya watu wenye Tabia hizo kujiweka wazi kabisa. Kilichonisikitisha zaidi wengine ni watoto wadogo waliotakiwa kuwa mashuleni muda huu.
Ninachojiuliza: Hawa ni watoto wadogo na wana wazazi!!!. maana nimeona baadhi ya sehemu katika picha zao wakiwa na wazazi wao. Je Wazazi wao wameridhia vitendo vya watoto wao??? Maana kwa jinsi walivyojiweka wazi kuna asilimia chache Sana za kunifanya niamini wazazi hawajui kinachoendelea.
Kwakweli ndugu zangu USHOGA ni jambo baya Katika nchi yetu na dunia Kama ilivyo UFISADI na mambo mengine yanayopigiwa kelele kila siku, Ukimya wetu kwenye hili na ubabe Wa kimyakimya kupinga lisiongelewe na kupingwa kwa uwazi kwa kisingizio cha uzalilishaji ni Kama njia moja wapo ya kubariki mambo haya yaliyojaa laana kwenye nchi yetu yazidi kupata nafasi ya kuwaingia hadi wadogo zetu.
Nimeambatanisha Picha na wanavyovijadili.
Kwa muda huu ngoja niishie hapa na nimewawekea na picha ili mnielewe kwa mapana. Tafadhari mods msiondoe hii sote tuwe name hofu ya mungu.View attachment 160533