Utafiti: Taifa linaangamia na Ushoga ( Picha )

Utafiti: Taifa linaangamia na Ushoga ( Picha )

Maombi yangu kwa Mods wa hii forums..naomba post zozote zenye ujumbe wowote unaohusu ushoga uwe unaondolewa kwenye hili jukwaa.. wengine wamekuwa wakipost as if wanalalamika kumbe wanatumia hiyo nafasi kutangaza ushoga.. njia pekee ni kudelete all information or post related to this kabla haijasomwa na wengi..ushauri wangu wa bure huo..
 
kama ni wabongo hao kamata peleka jela miezi mitatu na viboko kumi kila wiki wakitoka piga ua harudii tena, ndo aone kuanushoga hazaliwi nao mtu kama wanavodanganywa ni tahira tu anajitakia

Kupelekwa jela sio suluhisho huko ndio ataenda kuolewa kabisa !
 
Maombi yangu kwa Mods wa hii forums..naomba post zozote zenye ujumbe wowote unaohusu ushoga uwe unaondolewa kwenye hili jukwaa.. wengine wamekuwa wakipost as if wanalalamika kumbe wanatumia hiyo nafasi kutangaza ushoga.. njia pekee ni kudelete all information or post related to this kabla haijasomwa na wengi..ushauri wangu wa bure huo..

Hata mashoga pia wamekuwa wakizuia ushoga kupigwa vita. kwa kutumia njia ya kuzuia watu wasiuongelee kwa kisingizio cha kujifanya wema eti utasambaa. Mi nadhani tusiwasikilize tuendelee kupaza sauti zetu Haya mambo yapigwe vita.
 
It must be stopped for the future our generations. Hata Mungu anachukia jambo hili la ushoga
 
Siamini macho yangu jamii inateketea.

Hapa siwezi sema majanga nitasema, kwa kweli kwa maadili yetu hii ni nje kabisa ya maadili
 
It must be stopped for the future our generations. Hata Mungu anachukia jambo hili la ushoga
Halafu kwa kuviangalia vinaonekana havijafikisha hata umri wa miaka 15
 
Ndugu yangu kinondoni saivi ndo hatari yani hakufai kama katika hizo picha uyo shoga ambaye ndo mtoto kuliko wote anakaa maeneo ya studio tena kuna shoga moja ndo kubwa lao linaitwa aggrey karibia kinondoni nzima wanamjua ndo anawafuga hao wengi kawatoa moshi kwasababu uyo aggrey ni mwenyeji wa moshi so vijana wengi wadogo anawatoa moshi anawaleta kinondoni kuwafanyisha biashara

Kweli mkuu namjua huyu Dogo agrey na company yake wanawaharibu sana watoto.
 
Ushoga ni janga na laana mbaya kwa Taifa. Lipigwe vitaaaaaa
 
Siamini macho yangu jamii inateketea.

Hapa siwezi sema majanga nitasema, kwa kweli kwa maadili yetu hii ni nje kabisa ya maadili

Ni hatari Sana mkuu. Nashangaa watu wanachukulia poa Haya mambo.
 
Kama ni kweli mashemeji zangu mwatutia aibu sana hata kama ni pesa siyo kwa staili hii ya umaruhani.
 
Ni hatari Sana mkuu. Nashangaa watu wanachukulia poa Haya mambo.
Tukishikamana inawezekana kuiokoa jamii yetu. Ndugu tunapoelekea vizazi vyetu vitakuwa katika wakati mgumu sana na haya mambo ya utandawazi kwa kweli roho inaniuma hapa wewe, kwanini?
 
Maombi yangu kwa Mods wa hii forums..naomba post zozote zenye ujumbe wowote unaohusu ushoga uwe unaondolewa kwenye hili jukwaa.. wengine wamekuwa wakipost as if wanalalamika kumbe wanatumia hiyo nafasi kutangaza ushoga.. njia pekee ni kudelete all information or post related to this kabla haijasomwa na wengi..ushauri wangu wa bure huo..

Nakubaliana na wewe mkuu.Hii ni njia yao ya kujitangaza kijanja.
 
hivi kwa nini mashoga wengi ukiacha wa pwani ni Wachaga?
Wewe ushindwe kwa Damu ya YESU KRISTO wa Nazareth kama unachuki zako za kikabila katizia hukohuko lakini usihusishe kabila lolote na huu ushetani tena tuheshimiane sana.
 
Back
Top Bottom