Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

Mtoa rushwa mpokea rushwa mkubwa huyo hafai hata kidogo,Anawanunua wale wanaojiita et watafiti(kumbe ni watafiti uchwara) pia ukifuatilia hata hayo magazeti yanayolipoti tafiti hizi uchwara yanamkono wake

Subirini mwakani mtaimba nyimbo zote.nchi hii ilipofikia inamuhitaji lowssa tu hakuna mwingine
 
kwanini mtu unapost matusi .kama haumpendi mtu nyamaza kuliko kutukana au toa ushauri kutukana jamani,
 
Mara hii Pinda Ameperish? Dr. inaonekana anakwenda kwa kasi sana wakifanya utafiti mwingine Dr. Slaa kidedea
 
Dr.Slaa lazima aendelee kulia kama mtoto mdogo.
 
Jamani Kuna wanaume wana wivu humu ndani kama sisi wakina dada.Lowasaa nyota yake imeshang'aa hakuna wakuizima kirahisi mi nawaambieni
 
hakuna mtu mwadilifu kama lowassa nchi hii,mmejarib kumpaka matope lakin imeshindkna wahuni nyie

Kama mtafanikiwa kupitishana kwenye kura za maoni ndani ya chama sawa, lakini kama wananchi tumechoshwa na viongozi wenye tabia za kuibia umma. Labda aje kwanza atueleze mtiririko mzima wa namna alivyozipata mali zote anazomiliki kama kiongozi wa umma.
 
Jamani Kuna wanaume wana wivu humu ndani kama sisi wakina dada.Lowasaa nyota yake imeshang'aa hakuna wakuizima kirahisi mi nawaambieni
Watu wa Membe na Pinda watakufa safari hii na mpaka ifike may pressure itawauwa.....walitegemea mkulu atawabeba ila kwa taarifa zilizopo mkuli kasema game itakuwa free and fair
 
Hizi tafiti bado naamini kuwa ni tafiti za kutengeneza hazina mantiki yoyote tutazisahau kabisa wakati ukifika.
 
Atachaguliwa na mke wake siyo watanzania kama anavyodhani wanakaa wanapika utafiti halafu wanapotosha watu.
mi sio mkewe ila kura yangu anayo.we watu waulizwe waseme watamchagua lowasa we mapovu kama mk fafa.watu wanamtaka lowasa jembe.hana kashfa kama udhanivyo ni fitna ya sita na jk tu.mbona sasa escrow na epa wapo wengi na wanautaka "urahisi"
 
Jamani Kuna wanaume wana wivu humu ndani kama sisi wakina dada.Lowasaa nyota yake imeshang'aa hakuna wakuizima kirahisi mi nawaambieni

Mwenzangu Nashangaa sikuhiz wamekuwa kama wadada.Lowassa hakunaga jamani mpeni tu haki yake
 
Jamani Kuna wanaume wana wivu humu ndani kama sisi wakina dada.Lowasaa nyota yake imeshang'aa hakuna wakuizima kirahisi mi nawaambieni

Hata ya JK mlisema inang'aa lakini matokeo yake mmeyaona ni ufisadi kianzia baba, mama mpaka watoto. Nyie ndio mnaochangia taifa kuangamia kwa kuchagua majina ya watu.
 
mi sio mkewe ila kura yangu anayo.we watu waulizwe waseme watamchagua lowasa we mapovu kama mk fafa.watu wanamtaka lowasa jembe.hana kashfa kama udhanivyo ni fitna ya sita na jk tu.mbona sasa escrow na epa wapo wengi na wanautaka "urahisi"

Baba yangu waeleze wajue.Lowassa hakuna mwingine
 
Naona ukoo wa panya upo kazini!

attachment.php
 
Back
Top Bottom