Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

anaemiliki gazeti la Rai unamjua?? Hapo unategemea nini? Hatudanganyiki aisee. Team yao irudishe fedha za kifisadi za rada, meremeta, Richmond etc
 
utafiti uliochapishwa kwenye gazeti LA RAI la leo unaonyesha mh EDWARD LOWASA ANAONGOZA AKIFUATIWA NA DK SLAA

Msifariji sana Lowasa kama Alivyofarijiwa kipindi kile Mrema , ila mwisho wa siku akajikuta kaangukia pua na kupoteza meno yote ya sebureni.
 
Last edited by a moderator:
Mods, anzisheni uzi sticky tupige kura humu muone huyo lowassa kama atatoboa humu
 
Mselewa tuliza shanga zako utakata uharibu sebene.We ni kati wachumia tumbo waliobakia,lowassa anakwenda kuwa rais wa nchi hii
Mkuu humu ndani kuna watu wa ajabu sana, hizo kura zilikuwa online na wananchi ndio wamepiga kura. Na bado watajitambua tu muda sii mrefu...
 
Mselewa tuliza shanga zako utakata uharibu sebene.We ni kati wachumia tumbo waliobakia,lowassa anakwenda kuwa rais wa nchi hii

Safari hii, hii nchi kamwe haitaongozwa na wezi wa mali za umma.
 
Safari hii, hii nchi kamwe haitaongozwa na wezi wa mali za umma.

Kweli mkuu uko sahihi hatuwezi kuongozwa na wezi wa ESCROW na Bomba la gesi kutoka Mtwara...uko sahihi kabisa na tarehe 26 ndiyo mwisho wao
 
Mtoa rushwa mpokea rushwa mkubwa huyo hafai hata kidogo,Anawanunua wale wanaojiita et watafiti(kumbe ni watafiti uchwara) pia ukifuatilia hata hayo magazeti yanayolipoti tafiti hizi uchwara yanamkono wake
 
Kama unajua hilo mkuu anzisha basi taasisi yako ya utafiti ili akununue pia! Hakuna jambo baya kama mwanaume kusikia stori za mitaani na kuziamini, utakuja ambiwa huko mitaani kuwa mke wako anachepuka na uamini bila fact.....try to have fact then ndio uongee ili kulinda heshima yako katika jamii
 
Back
Top Bottom