Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,460
- 4,509
Guys there is no any excuse linapokuja swala la kujipendelea a k.a kujijali.Hakuna sababu yoyote ile ya kukufanya ushindwe kuenjoy maisha.Sio mwanamke sio watoto wako wa kuwazaa mwenyewe.
Be selfish at your best.Acheni kitia huruma kipumbavu.Tafuta hela ila usiache kujishukuru mwenyewe kwa kile unachokipenda.
Watu wengine lazima watambue jasho lako ni lako.Wao watafuata baada ya wewe kuenjoy kwanza.
📌🔨Maisha ndiyo haya haya acheni kulialia kwa ujinga wenu wenyewe.Take it or leave it.Gademit!!!!
Mwanaume unatakiwa ujipende,ujiendeleze kielimu,tunza afya yako,vaa vizuri,jifunze stadi mbalimbali.Kuwa bora siku hadi siku.
Uwekezaji bora huanza na wewe Hakuna ueekezaji sijui kwa mtoto au mke.Wenzako matahira walijaribu wakala K.O.
"stay single even in a relationship or marriage"