Utafanyaje ukiambiwa.......

Utafanyaje ukiambiwa.......

Aiseeee> Kwanza mtu anapo kwambia fix it ina maana yeye ana amini wewe ndio chanzo cha tatizo na ana amini kuwa wewe ndio unaweza ukamaliza hilo tatizo japo ukiangalia hiyo sentensi kwa mapana utagundua huyo mhusika ana jaribu kutupa lawama kwa upande mmoja wakati kazi ya kutengeneza ndoa imara ni ya watu wa wiwili.

Katika hili unaweza kukaa nae chini na kumuuliza tatizo lako hili ujirekebishe au kama wewe unafikiri kuna sehemu ndio una tatizo unaweza kurekebisha na kama unajua kuna sehemu na yeye ana kosea tafuta njia nzuri ya yeye kuona na yeye ni sehemu ya tatizo.

Lakini mtu anaye toa kauli ya hivi kukuacha ni rahisi sana maana ukishindwa kufix atakuja na statement nyingine its ...over maana yeye ana amini wewe ni tatizo na si yeye.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Utasepa kwa wangapi!!!!!!!! what if ur the problem bado utasepa tu!!!!!!!

Hakuna uelekeo ni kusepa kwanini kubembelezana? kila siku kugombana, inamana hata siku moja hamjawahi kuwaza kuweka tofauti zenu chini
 
Huwezi fix mahusiano alone, lazima muwe wote wawili.

Kama mie akisema hivyo akaondoka, anakuta nimepika ma misosi nayopenda, nasonsomola tu na watoto.
 
Huwezi fix mahusiano alone, lazima muwe wote wawili.

Kama mie akisema hivyo akaondoka, anakuta nimepika ma misosi nayopenda, nasonsomola tu na watoto.

Halafu mie naona ni dharau ya hali ya juu kumwambia mtu maneno ya namna hiyo. Hakuna ndoa ya mtu mmoja na kila tatizo la kwenye mahusiano haliwezi kuwa la upande mmoja! Kujaribu kulifanya namna hiyo ni kumkosea mwenzi wako adabu!
 
Mi fundi mekanika?? Akifungua tu kidomo na kutamka shiti hizo namkimbiza on the spot!
 
bora ukae kimya ufanye mambo yako mengine, sasa kwa nini upewe jukumu la kufix kwa yeye haimuhusu hiyo ndoa au mahusiano
 
Ndio maana mie akisema maneno hayo namdharau tu, naendeleza sherehe na watoto.

Mahusiano ni ya wawili, hata mwenye kosa awe nani, lazima mshirikiane kutafuta suluhu.

Back
Top Bottom