Utafanyaje hapo?

Utafanyaje hapo?

Shost alinunuliwa nyumba na boyfriend mzungu wakaachana, amempata mmbongo anataka kumuoa, baada ya engagement ndiyo mwanaume anajua nyumbani ilinunuliwa na ex. Ameambiwa iuzwe kwanza ndiyo mipango ya ndoa iendelee. Shost hana hamu ukizingatia ni msajili za Upanga.
 
Kitu ni kile kile. Akiuza pesa atakazopata bado ni jasho la huyo ex mzungu. Angeonekana kidume kama angamwambia amrudishie huyo mzungu nyumba yake. Lakini kuiuza tuu haitoshi kwani hizo pesa hata akinunua au kujenga nyingine ni sawa tuu na hiyo ya awali.
 
Akifanikiwa kuuza nyumba hiyo na kununua au kujenga nyingine atakuwa kafanya "NYUMBA laundering "[emoji28][emoji28][emoji28]
 
kwa hiyo mimi kama nilikuwa mwanaume wako wa zamani nikakuletea zawadi utakataa bibie?
Let me conclude that - inategemea uko katika term zipi na huyo ex wako, some never talk and some remain friends
 
Walahi, kama ni mke wangu kapewa hilo gari then nikampiga mkwara wa kulirudisha na akalirudisha kweli basi ategemee talaka!!
 
Kwa ninavyomjua wa kwangu atakomaa na gari mpaka kieleweke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom