Assume wewe uko Kanisani alafu yanatokea haya

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,802
Reaction score
38,011
Pale umeenda Kanisa geni na mumeo alafu Mtumishi amuite mbele bila kujua ni Mumeo alafu ghafla anasema kijana nakuona ukioa mwaka huu tena utamuoa mzungu

Dada Utafanyaje ? 😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Mpwa jinsia pinzani ndio wanahusika zaidi hapaπŸ˜€
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom