Utafanyaje hapo?

Utafanyaje hapo?

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,198
IMG_20170623_040617.png
 
Hahahaha utaambiwa ni zawadi tu isiyonamadhara au utadanganywa kuwa katoa ancle, ila mrudishaji sijamwona zama hizi
 
Hhhhh kwan mume m2 anajua mleta gift n ex wa mkewe........hp n full kupiga drift km zile za Vin Diesel
 
Hutakiwi kukubali zawadi kutoka kwa ex wako,haijalishi unaolewa au bado uko single unless bado unamuhitaji.
 
Hahahaha utaambiwa ni zawadi tu isiyonamadhara au utadanganywa kuwa katoa ancle, ila mrudishaji sijamwona zama hizi
Haileti mantiki kudrive gari ya mwanaume mwingine na huku unamwanaume mwingine(mume)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom