Utafanyaje baaaaaaaaaab?

Utafanyaje baaaaaaaaaab?

Namchukulia poa kwani nimeshalala naye usku kucha angekuwa anataka kuniua mbona ningekuwa nishatangulia kuzimu. Unajikaza kisabuni unamchukulia poa usionyeshe wasiwasi mpaka akasituka hapo ndio anaweza kukudhuru.
inaonekana unaweza ata kulikiss ili lisistuke.umewai kuish na vampire ninpi?
 
Asee, mi namfunika na blanket usoni, then nacheck ikulu kama kupo flesh kwanza nijue cha kufanya!
aswaa inabid ukague ikulu ukikuta mpangilio sio ule ulozoea unanyata had nje then ndukiiiiiiiiiiiiii
 
unatulia tu halafu ndio unaongeza malavidavi huku ukiomba msamaha lisikufanye chochote mbaya
 
nahisi ndo utakuwa mwisho wa uhai wangu. ahela itaniita soon mana tiketi tayari nitakuwa nayo
 
unatulia tu halafu ndio unaongeza malavidavi huku ukiomba msamaha lisikufanye chochote mbaya
weee!! Malavidavi hapo yatatokea wapi? Sa hizo anatoa tu ule mlio wa Nsyuka wa hhaaaa hhhaaa! Nyamaaa!
 
Halafu ndio Reverend huyo! Mie niliwahi kukuambia wewe ni Reverse.

Hujamuelewa vyema Rev hapo alikuwa anamanisha atamuomba simu ya mtandao huo ili apige fasta kuomba msaada.
 
Back
Top Bottom