Utafanyaje baaaaaaaaaab?

Namchukulia poa kwani nimeshalala naye usku kucha angekuwa anataka kuniua mbona ningekuwa nishatangulia kuzimu. Unajikaza kisabuni unamchukulia poa usionyeshe wasiwasi mpaka akasituka hapo ndio anaweza kukudhuru.
inaonekana unaweza ata kulikiss ili lisistuke.umewai kuish na vampire ninpi?
 
unatulia tu halafu ndio unaongeza malavidavi huku ukiomba msamaha lisikufanye chochote mbaya
 
unatulia tu halafu ndio unaongeza malavidavi huku ukiomba msamaha lisikufanye chochote mbaya
weee!! Malavidavi hapo yatatokea wapi? Sa hizo anatoa tu ule mlio wa Nsyuka wa hhaaaa hhhaaa! Nyamaaa!
 
Back
Top Bottom