Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,945
- 5,850
Hapo ni kuzuia hasira, hisia na mihemko alafu unawaacha waende ila mama watoto mwambie kabisa ahakikishe hamuonani tena tofauti na hapo utajikuta umevaa orange orange
Ni vizuri ukapima DNA zaidi ya mara mbili hospitali tofautiTatizo kibongo bongo hapa majibu kuyachezesha ni rahisi sana.
Sawa mkuuMaana yake ntajua sijaonewa Bali nimesaidiwa nitaendelea kulea Kwa moyo mweupe kama watoto wangu
Sawa mkuuMaana yake ntajua sijaonewa Bali nimesaidiwa nitaendelea kulea Kwa moyo mweupe kama watoto wangu
hasira hasara mkuuHapo ni kuzuia hasira, hisia na mihemko alafu unawaacha waende ila mama watoto mwambie kabisa ahakikishe hamuonani tena tofauti na hapo utajikuta umevaa orange orange
Wanamegewa ila SIO WOTE
Simple Sana, ndoa navunja, mi nabaki kama baba Yao, watabeba jina langu, wakitaka kumjua biological father wao, nitawasaidia, wakiwa, wa kubwa, wakataka kufata jina la dingi Yao, ni poa tu, hapo ndio na Mimi nitawatoa kwenye mirathi,mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
wewe hapo ulipo haujawahi kuchepuka? haujawahi kumkosea Mungu? ukikosea usingependa mkeo akusamehe? ukifanya dhambi usingependa Mungu akusamehe? au mnajitoa ufahamu tu.Sababu maumivu yake yametokea baada ya miaka 15.
Hivi ni kwanini kuna jehanamu?wewe hapo ulipo haujawahi kuchepuka? haujawahi kumkosea Mungu? ukikosea usingependa mkeo akusamehe? ukifanya dhambi usingependa Mungu akusamehe? au mnajitoa ufahamu tu.
Mungu aliandaa Jehanum kwa ajili ya kwenda kuwaunguza shetani na 1/3 ya malaika walioasi, lakini shetani kwa kuona hapendi kwenda peke yake, akaamua kuwashawishi wanadamu ambao Mungu aliwaumba wamwabudu ili nao waasi, wakaungue nao moto. hivyo wanadamu wote watakaofuata mambo ya sheteni, wameasi Mungu na wataadhibiwa pamoja na shetani jehanum.Hivi ni kwanini kuna jehanamu?
Boss SINGO MAZA HAOLEWI.Ukimpata anaefit hisia,moyo na na ni vibrant yaani anasisimua Sana ukiwa nae karibu!unaishi nae NA kumzalisha hata toto mbili!
Miss JamiiForums 2023 kesha sema jamani. Kuna mwenye nyongeza?Maamuzi gani zaidi? Mnawachana tu kila mtu anatazama maisha yake, na watoto wamjuwe baba yao ni nani.
Ubarikiwe ndugu kwa Injili hii.Mungu aliandaa Jehanum kwa ajili ya kwenda kuwaunguza shetani na 1/3 ya malaika walioasi, lakini shetani kwa kuona hapendi kwenda peke yake, akaamua kuwashawishi wanadamu ambao Mungu aliwaumba wamwabudu ili nao waasi, wakaungue nao moto. hivyo wanadamu wote watakaofuata mambo ya sheteni, wameasi Mungu na wataadhibiwa pamoja na shetani jehanum.
1YOHANA 3 INASEMA:
1 Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye. 2 Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa; lakini twajua ya kuwa atakapodhihirishwa, tutafanana naye; kwa maana tutamwona kama alivyo. 3 Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, kama yeye alivyo mtakatifu. 4 Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa dhambi ni uasi.
5 Nanyi mnajua ya kuwa yeye alidhihirishwa, ili aziondoe dhambi; na dhambi haimo ndani yake. 6 Kila akaaye ndani yake hatendi dhambi; kila atendaye dhambi hakumwona yeye, wala hakumtambua. 7 Watoto wadogo, mtu na asiwadanganye; atendaye haki yuna haki, kama yeye alivyo na haki; 8 atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi. 9 Kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wake wakaa ndani yake; wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa kutokana na Mungu. 10 Katika hili watoto wa Mungu ni dhahiri, na watoto wa Ibilisi nao. Mtu ye yote asiyetenda haki hatokani na Mungu, wala yeye asiyempenda ndugu yake.
NIMEPENDA HAPO MWISHONI, anaposema watoto wa Mungu ni dhahidi, na wale wa ibilisi ni dhahidi. huhitaji kuuliza. yule anayehubiri kuua wasio wa dini yake hampendi ndugu yake, mweke wewe mwenyewe kwenye kundi analostahili. ila jueni dhambi ni uasi. na waasi wataenda kweney moto alioandaliwa muasi ibilisi shetani.
SawaAcha kukalili hao wamekulia ulaya,siku hizi hata Afrika vijana kibao hawana time na wazee wao. So tunza hela zako zikulee uzeeni, timiza majukumu yako ya kuwapa mahitaji yao ya msingi watoto wako ila hai-guarantee kwamba watakuthamini uzeeni.
KweliUkishakuwa na hela nadhani familia/watoto wana nafasi kubwa sana kwenye furaha yako.
watoto wenyewe ni kaka zake au dada zake na mtoto wako uliyezaa na mwanamke huyo. hilo nalo ni la kuzingatia. mimi watoto wa mama tulionyonya ziwa moja hata kama wasingekuwa wa baba yangu, sioni tofauti yeyote, ni wenzangu na nisingependa mtu yeyote hata baba awatose. connection hiyo ipo, anayewanyanyasa au kuwatosa ananikwaza na mimi pia.Dah.... pale unapogundua watoto wamekula ugali wangu kwa miaka 11 😮
Ni ngumu kiuhalisia. Kusema ni rahisi..Nitaaendelea kuwapenda na kuwalea ila sasa manzi aliyenitegeshea mimba feki aisee tunakuwa paka na panya
Labda kwa upande wako mkuuNi ngumu kiuhalisia. Kusema ni rahisi..