Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Embu watoto wa Ronaldo nao waxhunguzwe ..
Hawa wachezaji wanamegewa sana .
images (3).jpeg
 
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Simple Sana, ndoa navunja, mi nabaki kama baba Yao, watabeba jina langu, wakitaka kumjua biological father wao, nitawasaidia, wakiwa, wa kubwa, wakataka kufata jina la dingi Yao, ni poa tu, hapo ndio na Mimi nitawatoa kwenye mirathi,
 
Hivi ni kwanini kuna jehanamu?
Mungu aliandaa Jehanum kwa ajili ya kwenda kuwaunguza shetani na 1/3 ya malaika walioasi, lakini shetani kwa kuona hapendi kwenda peke yake, akaamua kuwashawishi wanadamu ambao Mungu aliwaumba wamwabudu ili nao waasi, wakaungue nao moto. hivyo wanadamu wote watakaofuata mambo ya sheteni, wameasi Mungu na wataadhibiwa pamoja na shetani jehanum.

1YOHANA 3 INASEMA:
1 Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye. 2 Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa; lakini twajua ya kuwa atakapodhihirishwa, tutafanana naye; kwa maana tutamwona kama alivyo. 3 Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, kama yeye alivyo mtakatifu. 4 Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa dhambi ni uasi.

5 Nanyi mnajua ya kuwa yeye alidhihirishwa, ili aziondoe dhambi; na dhambi haimo ndani yake. 6 Kila akaaye ndani yake hatendi dhambi; kila atendaye dhambi hakumwona yeye, wala hakumtambua. 7 Watoto wadogo, mtu na asiwadanganye; atendaye haki yuna haki, kama yeye alivyo na haki; 8 atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi. 9 Kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wake wakaa ndani yake; wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa kutokana na Mungu. 10 Katika hili watoto wa Mungu ni dhahiri, na watoto wa Ibilisi nao. Mtu ye yote asiyetenda haki hatokani na Mungu, wala yeye asiyempenda ndugu yake.

NIMEPENDA HAPO MWISHONI, anaposema watoto wa Mungu ni dhahidi, na wale wa ibilisi ni dhahidi. huhitaji kuuliza. yule anayehubiri kuua wasio wa dini yake hampendi ndugu yake, mweke wewe mwenyewe kwenye kundi analostahili. ila jueni dhambi ni uasi. na waasi wataenda kweney moto alioandaliwa muasi ibilisi shetani.
 
Ubarikiwe ndugu kwa Injili hii.
 
Acha kukalili hao wamekulia ulaya,siku hizi hata Afrika vijana kibao hawana time na wazee wao. So tunza hela zako zikulee uzeeni, timiza majukumu yako ya kuwapa mahitaji yao ya msingi watoto wako ila hai-guarantee kwamba watakuthamini uzeeni.
Sawa
 
Dah.... pale unapogundua watoto wamekula ugali wangu kwa miaka 11 😮
watoto wenyewe ni kaka zake au dada zake na mtoto wako uliyezaa na mwanamke huyo. hilo nalo ni la kuzingatia. mimi watoto wa mama tulionyonya ziwa moja hata kama wasingekuwa wa baba yangu, sioni tofauti yeyote, ni wenzangu na nisingependa mtu yeyote hata baba awatose. connection hiyo ipo, anayewanyanyasa au kuwatosa ananikwaza na mimi pia.
 
Back
Top Bottom