Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 27,156
- 70,817
- Thread starter
- #21
😂 mmefika
😂 mmefika
Utamuduje hayo maumivu yake?Nitaaendelea kuwapenda na kuwalea ila sasa manzi aliyenitegeshea mimba feki aisee tunakuwa paka na panya
😂 ndio sio watoto wakeMbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
Bora umuache kuliko kumtenganisha na uhai, sheria haitokuacha salama.Kuna vitu vingine siyo vya kujadili...
Ukienda congo hapo kuna ma a.k.a 47 kibao hapo na mikanda yake ya risasi..
Tuishi nao kwa akiliEndeleeni kuoa mtatapeliwa mpaka akili ziwakae sawa
KATAA NDOA
NI UTAPELI
NI ULAGHAI
NI UMASIKINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nimewaza hivyo hivyo manake naona mapacha ni baba yao mtupuMbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
Busara gani mkuu fafanua.ni kweli hawafanani, anafanana na huyo wa kwanza kushoto tu. hata hivyo, angetumia busara tu.
Sana mkuu ndio maana kuliwekwa angalizo tangu enzi.Wanawake ni viumbe hatari sana
Komaa hapo hapo kamanda
Baba yao halisi akiwahitaji utampa?haa,,,naendelea kumiliki watoto ila mama yao namtema.
Uko tayari kulea mabao ya wanaume wenzako?Nitaaendelea kuwapenda na kuwalea ila sasa manzi aliyenitegeshea mimba feki aisee tunakuwa paka na panya
Huchukui maamiuzi yeyotemchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Twins’ True Origins: The truth emerged after a paternity test, which shattered Geremi Njitap’s long-held belief that the twins were his offspring. Instead, they are the biological children of his wife’s previous husband. The weight of this revelation has left the former football icon grappling with a mix of emotions – betrayal, shock, and disbelief.Masikio kama njitap tu wote
Points 3 muhimuVile team kataa ndoa wanazidi kujipatia points
Vipimo vya DNA vinasemaje?Mbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
itakua na faida gani?Huchukui maamiuzi yeyote
Ina faida gani kutokufanya chochote?
Imenibidi nirudi kuangalia tena kuna ukweli au kitanda hakizai haram.Mbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
Kabisa mkuuSana mkuu ndio maana kuliwekwa angalizo tangu enzi.
Mwanamke anayefanya hivi ni mjinga kupitiliza. Hii inaleta maumivu ya kihisia ya maisha pale mtoto atakapokuja kuambiwa mtu ambaye alikuwa anamchukulia ni baba yake siyo baba yake. Naona madhara yako kwa watoto zaidi kuliko wazazi.Maamuzi sahihi sana ila ni wachache wanaweza kufanya hivyo kwa amani.