Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,214
- 4,722
Kuna mifugo fulani ikishazoea kufungwa kamba, siku hata ukiifungulia inakuwa inabaki pale pale ikifikiri bado imefungwa kamba.Uhuru wa habari umesharudi mbona unataka kuturudisha misri?
Nijuavyo mimi namba;Wana JF
Nawasalimu wote
Nianze kwa kusema mimi sio Mganga wala Nabii ila ninenayo ndiyo ukweli unaotokana na uhalali wa hatimiliki kwa mujibu wa maagano
Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na 3 zina wenyewe ila bahati mbaya tu kipindi hiki kifupi wenyewe wamezikosa bila kutarajia na zinatumiwa na wengineo kwa bahati mbaya tu!
Hata hivyo kwa kuwa wenye namba zao wapo na huwa hawashindwi basi lazima substitution ifanywe ili angalao mmojawapo hususani namba tatu akae pembeni
Wenye hatimiliki hawakujua kama haya yangalitokea hata hivyo maadamu yametokea basi lazima yajipange kuanzia sasa ili wamiliki wanachostahili
Ni lazima iwe hivyo na ni suala la muda tu na wala usipoteze nguvu kunibeza
Ndio mkuu we ni mbatia eti.Nijuavyo mimi namba;
1. Rais wa JMT
2. Makamu wa Rais wa JMT
3. Waziri Mkuu
Je nimepatia??😆😆😆
Una maana afunguke siyo? Amekusikia atarudi tena kufungua codeUhuru wa habari umesharudi mbona unataka kuturudisha misri?
Mbatia tena? Unazijua tabia zake?Ndio mkuu we ni mbatia eti.
Mama alishatahadharisha kuwa hii mitandao kuna watu wengine wanaitumia vibaya kwa kutoa ramli nyingine ambazo hazina vichwa wala miguu!Kuna mifugo fulani ikishazoea kufungwa kamba, siku hata ukiifungulia inakuwa inabaki pale pale ikifikiri bado imefungwa kamba.
Mtu uko mtandaoni, hutumii jina lako, bado unaendekeza ramli za numerology kama mtabiri muongo anayetaka kupiga hela kwa utabiri feki bila kuwajibishwa utabiri usipotimia?
Kama hivi Mkuu?Kuna mifugo fulani ikishazoea kufungwa kamba, siku hata ukiifungulia inakuwa inabaki pale pale ikifikiri bado imefungwa kamba.
Mtu uko mtandaoni, hutumii jina lako, bado unaendekeza ramli za numerology kama mtabiri muongo anayetaka kupiga hela kwa utabiri feki bila kuwajibishwa utabiri usipotimia?
Hata wakitolewa hutateuliwa wewe.Wana JF
Nawasalimu wote
Nianze kwa kusema mimi sio Mganga wala Nabii ila ninenayo ndiyo ukweli unaotokana na uhalali wa hatimiliki kwa mujibu wa maagano
Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na 3 zina wenyewe ila bahati mbaya tu kipindi hiki kifupi wenyewe wamezikosa bila kutarajia na zinatumiwa na wengineo kwa bahati mbaya tu!
Hata hivyo kwa kuwa wenye namba zao wapo na huwa hawashindwi basi lazima substitution ifanywe ili mmojawapo hususani namba tatu akae pembeni
Wenye hatimiliki hawakujua kama haya yangalitokea hata hivyo maadamu yameshatokea basi lazima yajipange kuanzia sasa ili wamiliki wanachostahili
Ni namba zao kwa mujibu wa maagano & mazingira halisi ya sasa!
Ni lazima iwe hivyo na ni suala la muda tu na wala usipoteze nguvu kunibeza
Muda utaongea
Wasalaam
Mimi sikubezi, kwasababu, hakuna aliyedhani No. 1 angeweza kuchomoka, hivyo everything is posible, and anyhing can happen to anyone, at anytime, hata Namba 1 , hivyo usilazimishe kusema ni lazima iwe hivyo unless kama mpangaji ni wewe, lakini kama mpangaji ni YEYE, hao wenyewe wako, wanaweza kutangulia, kabla ya hao unaotaka waondoke!.Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na 3 zina wenyewe ila bahati mbaya tu kipindi hiki kifupi wenyewe wamezikosa bila kutarajia na zinatumiwa na wengineo kwa bahati mbaya tu!
Wenye hatimiliki hawakujua kama haya yangalitokea hata hivyo maadamu yameshatokea basi lazima yajipange kuanzia sasa ili wamiliki wanachostahili
Ni lazima iwe hivyo na ni suala la muda tu na wala usipoteze nguvu kunibeza
Muda utaongea
Wasalaam
Waziri Mkuu hawezi kutolewa bila sababu nzito, serikali ilishawahi kusema kwamba kuwa na mawaziri wakuu wastaafu wengi ni gharama kubwa.Hata wakitolewa hutateuliwa wewe.
Kenge wa njano
Namba 1 mwendazake kauliwa.. Korona haipo hivyoMimi sikubezi, kwasababu, hakuna aliyedhani No. 1 angeweza kuchomoka, hivyo everything is posible, and anyhing can happen to anyone, at anytime, hata Namba 1 , hivyo usilazimishe kusema ni lazima iwe hivyo unless kama mpangaji ni wewe, lakini kama mpangaji ni YEYE, hao wenyewe wako, wanaweza kutangulia, kabla ya hao unaotaka waondoke!.
P
Mpango kumdedishaWaziri Mkuu hawezi kutolewa bila sababu nzito, serikali ilishawahi kusema kwamba kuwa na mawaziri wakuu wastaafu wengi ni gharama kubwa.
The same goes for VP.
Hizi ramli ingefaa ziwe specific kutaja watu na tarehe watakazoondolewa ili turudi hapa kuhakiki.
Mbatia tena? Unazijua tabia zake?
Mpango wako?Mpango kumdedisha
Tema matex3! We!Namba 1 mwendazake kauliwa.. Korona haipo hivyo
Halafu tangia mwendazake aondoke sijasikia habari za matamko ya covid au alikuwa nayo mwenyewe wameona kawapisha? Mambo mazito haya!Namba 1 mwendazake kauliwa.. Korona haipo hivyo
Mkuu Paskali, karibu tena ulipotea sana bana, watu wakazusha eti umepitiwa na upepo wa kisulisuli - watu wabaya sana bana.Mimi sikubezi, kwasababu, hakuna aliyedhani No. 1 angeweza kuchomoka, hivyo everything is posible, and anyhing can happen to anyone, at anytime, hata Namba 1 , hivyo usilazimishe kusema ni lazima iwe hivyo unless kama mpangaji ni wewe, lakini kama mpangaji ni YEYE, hao wenyewe wako, wanaweza kutangulia, kabla ya hao unaotaka waondoke!.
P
Mkuu ipi ni gharama kubwa, kuwa na mtendaji asiyetimiza majukumu yake umlinde na kazi ziendelee kulala ili mradi tu usiongeze number ya wastaafu ama !!Waziri Mkuu hawezi kutolewa bila sababu nzito, serikali ilishawahi kusema kwamba kuwa na mawaziri wakuu wastaafu wengi ni gharama kubwa.
The same goes for VP.
Hizi ramli ingefaa ziwe specific kutaja watu na tarehe watakazoondolewa ili turudi hapa kuhakiki.