Utabiri wangu kulingana na Uhalisia: Namba mbili au namba tatu mmoja lazima apumzishwe

Hivi huu upepo umepita au upo bado?
Upite, kwenda wapi!

Hiyo ndiyo tabia yake, kulipuka kwa muda; halafu unapumzika, na watu wanasahau kwa muda kabla haujalipuka tena.

Hii ndiyo hatari ambayo bado watu hawajaitambua kuhusu gonjwa la aina hii.

Ni aina mpya inayohitaji mikakati mipya kuikabili.
 
Pasco nakushangaa Sana,unasema hukudhani kuwa namba moja angeweza kuchomoka,Mbona sisi tulijua siku nyingi sana,Tulikuwa tukisubiri Tuu....kwa hiyo kumbe hata maono ya Lema ulidharau???
 
PM alipaswa kuondolewa kabisa, bado anaona Mama ni 'TV' ambayo yeye na Co yake wanampeleka kwenye njia ya 'Shujaa'.
Kila akipata nafasi ya kuongelea miradi ya Shujaa, unaona anaongea kwa 'kusuta' na 'kunanga' wengine kwamba 'NI LAZIMA'.
 
Hiyo sikatai baada ya jiwe kupitiwa vipi matamko kutoka kwa mabeberu siyasikii tena hapo ndipo najiuliza au mie ndiyo nina tatizo lakutofuatilia labda.
Mabeberu wanapambana na Corona Yao na hawajawahigi kushinikiza Corona kwa tanzania
 
Kuna kuchomoka kwa aina mbili kwa mpango wa binadamu na mpango wa mungu.
Mungu ndio muumba wa vitu vyote ukiwemo uhai, na ni Mungu tuu ndio huuchukua uhai, hivyo haitegemei umechomoka vipi, mtu akichomoka ni kazi ya Mungu. Binadamu hata akipanga vipi kukuchomoa kama shambulio la Lissu, kama Mungu hajapanga mtu hachomoki.
P
 
Back
Top Bottom