Hello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Bingwa wa UEFA champions league atakua Arsenal baada ya kumfunga Inter Milan watakae ingia nae fainali.
Tunza uzi huu.