uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 18,488
- 30,806
Umefeli Maeneo karibia yote.CAFCL-Ah alhy
CAFCC- Berkane
NBC- Yanga
CRDB- Yanga
UEFA- Inter milan
CAFCL - Pyramids
CAFCC - Simba Mnyama
NBC - Simba Mnyama
CRDB - Simba Mnyama
UEFA - PSG.
Umefeli Maeneo karibia yote.CAFCL-Ah alhy
CAFCC- Berkane
NBC- Yanga
CRDB- Yanga
UEFA- Inter milan
Amepatia maeneo mengi wewe umepatia mawiliUmefeli Maeneo karibia yote.
CAFCL - Pyramids
CAFCC - Simba Mnyama
NBC - Simba Mnyama
CRDB - Simba Mnyama
UEFA - PSG.
SAWAUmefeli Maeneo karibia yote.
CAFCL - Pyramids
CAFCC - Simba Mnyama
NBC - Simba Mnyama
CRDB - Simba Mnyama
UEFA - PSG.
Mimi nimepatia kwa Pyramids na PSG.Amepatia maeneo mengi wewe umepatia mawili
CAFCL - Alisema Pyramids - alipatia
CAFCC - Alisema Rs Berkane - alipatia
NBC - Alisema Yanga - alipatia
CRDB - Alisema Simba - amekosea kwa kuwa Simba alishatolewa na kuna uwezakano mkubwa Yanga akachukuwa tena
UEFA - Alisema Arsenal ila amekosea kwa kuwa PSG wamebeba.
hahahahaBingwa wa UEFA champions league atakua Arsenal
Du!Al Ahly
Berkane
Yanga
Mzize
Alsenal
Hii Iko wazi tu
Kwenye betting ukitanguliza hisia ndo kama hiviMimi nimepatia kwa Pyramids na PSG.
Hapo kwa Mnyama hakuna namna ambayo ningetaja Utopolo hata ungeniwekea Kisu.
Kweli ni noma, ile Uefa nikiamini wale PSG wangepingwa TU na arsenal halafu wale wazee wa Inter angewachakaza vibaya. Duhh mambo yakaenda vise versaKwenye betting ukitanguliza hisia ndo kama hivi
Ulianza vizuri sijui ukanywa pombe gani huko mwisho ukaharibu😂Hello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Bingwa wa UEFA champions league atakua Arsenal baada ya kumfunga Inter Milan watakae ingia nae fainali.
Tunza uzi huu.
We jamaa inaonyesha hata kitandani huwa unakosea sanaBingwa wa CAF confederation cup, NBC Premier leag na CRDB cup ni ZEMBA. Bingwa wa CAF Champions league atakuwa Nadel Al Ahly.
Bingwa wa UEFA Champions league atakuwa Arsenal.
Bye bye!!
Kubeti ni siri yangu, huko yoyote namuua. 😃😃Kwenye betting ukitanguliza hisia ndo kama hivi
😆😆😆😆Umefeli Maeneo karibia yote.
CAFCL - Pyramids
CAFCC - Simba Mnyama
NBC - Simba Mnyama
CRDB - Simba Mnyama
UEFA - PSG.