Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

Ur predict may be right 4those narrowminded or CDM robbort cant c that.by the way who is mad enough 2 lay our best country on the hands of triblelism and religeonlism and selfish people of north CDM We all know ur party get majority frm church politics.and such politics is easy 2 creat the super robbots eaven thou u mentioned cretical point killing CDM cant see.they have already programed a song CCM CCM.
 
hahahahahahaha huu ni zaid ya ukatuni.....
 
Yaani jina lako tu utata "BWEGEBWEGE" sembuse huyo utabiri wako
 
Ama kweri ccm mnaweweseka mtoa post hajielewi mimi nilikuwa kijijini kwetu rwagati jimbo la bukoba vijijini kila mtanzania unaye muuliza anakwambia ccm siipendi tutaonana 2015 ndoo utatambua ninacho kueleza leo pia anarisisi yangu haikuishia hapo mimi kazi zangu niza kusafili maranyingi na maranyingi naenda vijijini naweka kambi kwa kazi zangu namaliza eneo husika zaidi ya wiki tatu kila ninaye muhoji anakwambia ccm na machungu yake wananchi wengine hata kusoma kuandika hawajui lakini wanakwambia ccm imetuua sehemu nyingine hakuna hata mawasiliano ya cm wala redio lakini sijui watu hamasa wanaipata wapi wanakwambia ccm hatuitaki na hatuto ichagua
 
Ama kweri ccm mnaweweseka mtoa post hajielewi mimi nilikuwa kijijini kwetu rwagati jimbo la bukoba vijijini kila mtanzania unaye muuliza anakwambia ccm siipendi tutaonana 2015 ndoo utatambua ninacho kueleza leo pia anarisisi yangu haikuishia hapo mimi kazi zangu niza kusafili maranyingi na maranyingi naenda vijijini naweka kambi kwa kazi zangu namaliza eneo husika zaidi ya wiki tatu kila ninaye muhoji anakwambia ccm na machungu yake wananchi wengine hata kusoma kuandika hawajui lakini wanakwambia ccm imetuua sehemu nyingine hakuna hata mawasiliano ya cm wala redio lakini sijui watu hamasa wanaipata wapi wanakwambia ccm hatuitaki na hatuto ichagua
Chadema ni genge la wahuni
 
Kweli ww -----,unatetea kupanda kwa umeme na maisha magumu yanayofanywa na maccm!!!!! Matanzania majinga sn,au mpaka uliwe 0713...... ndo utaamini kuwa hali ya maisha ni ngumu na yazidi kuwa mbaya? Majitu kama haya ni ya ku....

Wewe unatukana watu kwakuwa wanamaoni tofauti na wewe! Huo sio ustaarabu,hili ni jukwaa ambapo watu wanashindana kwa hoja sio matusi.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
..........ndiyo maana dola inatumia nguvu kubwa kuidhibiti CHADEMA na wakati mwingine kutumia hata vyombo nyeti kuwahujumu,,
mbaazi ukikosa maua husingizia jua daima.....
serekali hii ya ccm inatoa ruzuku kwa vyama ikiwamo cdm na uhuru mkubwa isivyo halali wa kuzunguka nchi nzima kuvuruga amani.
Hadi leo haijulikani cdm inapigania nini zaidi ya kutamba kua 2015 kuingia Ikulu!
sawa kuna wizi na ufisadi serekalini na ndani ya ccm , mbona zito kupitia Bunge alipoagiza vyama vikaguliwe mmekasirika na sasa mnalenga kumtoa kwenye nafasi yake Bungeni?
je kama cdm ni tofauti na ccm sii mngefurahia sana hiyo hatua ambayo ililenga kuanika uozo wa matumizi mabaya ya fedha za serekali ndani ya vyama?
Tuwe waaminifu tusitumie nguvu ya walipa kodi kuwalaghai wananchi....,
 
Huyu mtoa hoja atakuwa yumo kwenye buku saba wameongezeka litakuwa kundi la eli tu hili.
 
Machadema ni maj.nga maj.nga na yenye bongo za maiti.
 
Brother CDM ni kama mchanga wa bahari, wakitoka hao unaowaona ni vichwa sana CDM basi elewa safari kuna wakali zaidi ya hao watakuja kutetemesha bunge na nchi. Tupo wengi sana so wait n see. Over.
 
Nimekuwa nikitafakari mwenendo wa baadhi ya viongozi wa CDM na haya matukio yaliyotokea recently kwenye chama hiki ambacho wengi tulikuwa tunakiona ni chama mbadala! Migogoro iliyopo sasa, na Zaidi, kubwa ni suala la kukosekana kwa demokrasia ndani ya CDM na ongezeko la vibaraka wasio na ushawishi wala weledi wa masuala uchumi, maendeleo, siasa za ndani na za kimataifa kutasababisha CDM iporomoke Zaidi na ikose mvuto mbele ya wapiga kura!

Si hayo tu, wakati tunajiaandaa na uchaguzi mkuu mwakani, ni dhahiri CDM haitakuwa na nafasi ya kutosha kurekebisha hali ya mambo ndani ya chama na kupata nafasi ya kuunda timu ya ushindi 2015! Tukutane baada ya uchaguzi 2015, lakini kwa sasa naona wabunge wafuatao watapoteza viti vyao:-

1. John Mnyika – kaishiwa sera, hana tena mvuto Ubungo, hasa hili la kukosa msimamo
2. Godbless Lema – controversial politician, anapenda vurugu ambazo zimesababisha wafuasi na wanachama wengi wa CDM na wananchi wa kawaida kupoteza maisha au kupata vilema vya kudumu kutokana na ushauri na ushawishi wake wa kutumia maandamano na ghasia dhidi ya vyombo vya dola…watanzania wameshtuka, Arush ahawatamuunga mkono
3. Peter Msigwa – amejitahidi kuongea akiwa bungeni, lakini kujiingiza kwenye mgogoro na Zitto, na kuendelea na mapambano dhoidi ya ZK hata wakati amesimamishwa kumemshushia hadhi! Haonekani kama ana jipya, hana uwezo wa kupata info kama ZK, who was a think tank of CDM!
4. Halima Mdee – Amekuwa kimy akwa muda mrefu, tumesikia pi amalalamiko ya wapig akura wa Kawe, Zaidi jimbo hilo sasa linatamaniwa na Kiongozi wa NCCR-Mageuzi, nab ado mama Ritha anaklitaka! Kuna habari pia Mchungaji Rwakatare anajipanga kugombea….ni wazi Halima hatakuwa na chake
5. Tundu Lissu – Hadi Raisi alimwit ani muongo mbele ya halaiki! Ni aibu. Pia huu mgogoro wa Zitto na CDM amekuwa akiishauri vibaya CDM, haonekani kama ana elewa vizuri siasa; huyu ni activist, not politician! Kule Singida kwao watamtupilia mbali…

Hawa ni wabunge mashuhuri wa CDM, wakitupwa nje ya ulingo hao na CDM inapoteza umaarufu Zaidi hata ya TLP! Hapo bado kun ahatihati kwa kina Nasari,


Tusubiri tuone
asante kwa utabili wako ila umewasahau Wenje, Sugu na mbunge wa nyamagana hawa watu hawafai ata kuongoza wadudu. Cdm kwishinee. Babu slaa atafutiwa sehem sahihi ya kulelea wazee.
 
Back
Top Bottom