Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

Nimetabiri, tusubiri 2015! Nafuata ushauri wako, nalala for now

Usilale hii ni 2014,ukilala utakuwa bwegebwege kweli.
Utabiri wako unaweza ukawa mzuri kama hujaingiza chembechembe za ushabiki wa kisiasa,siasa sio kazi ya kudumu,kurudi bungeni kunategemea ni namna gani ulivyochanga katara zako,kuna wabunge walishafanya kazi nzuri sana lakini kimbunga kikawapitia,mfano ni Basil Mramba,kule rombo alifanya kazi kubwa kweli,umeme toka miaka ya 90,maji safi na salama.barabara za lami,afya,shule nk,ila kimbunga kilimpitia.mabadiliko ni sehemu ya maisha ya mwanadamu.Ila kwa wabunge kama Mnyika,Lissu,Msigwa mi sina wasiwasi nao,wanajua kama Mersuit Ozil wa arsenal.
 
Moja kati ya tabiri mbovu kuwahi kutokea humu JF, unashindwa kuwataja akina Nyangwine, Massele, Maji Marefu, Wassira, nawengine wengi ambao kwahakika inaonekana wamepwaya katika majimbo yao unahangaika kuwataja watu ambao kazi zao zinaonekana na bado wanamvuto mbele ya jamii!, SHAME ON YOU.
 
Enyi watanzania wajinga,ni nani aliewalogeni?
Hao wabunge hata wasiporudi kwani wanakununnulia sembe na dagaa kwa wanao?
Vijana amkeni acheni ushabiki wa kisiasa kama ule niliouona kigoma.unapigwa na jua na njaa, mwenzako anahutubia kidogo anapanda VX anaondoka wewe unarudi kijiweni na bodaboda yako na hujui wanao wanakula nini?huu ni ujinga.
Kama kweli vijana mnataka mabadiliko ainisheni vipaumbela vya Taifa.
1.Ajira kwa vijana,sio kuahidiwa bodaboda na akina mamvi na january.
2.Maji safi na salama kwenye kila kijiji na miji kote nchini.
3.Elimu bors kwa wote,mpango wa BIG RESULTS NOW,usimamiwe na uboreshwe.
4.Ufufuaji wa Viwanda vyote ili kuleta ajira kwa vijana,sio bodaboda zinazosaga watu miguu na vifo.
5.Bima ya afya kwa kila mtanzania.
6.Hospitali bora zenya vifaa na wataalamu.
7.Miundombinu Bora.
8.Masoko ya kuuzia bidhaa,sio kila mwaka mananasi yanaozea hapo chalinze kwa kukosa soko na korosho kule kusini.
9.Njia kuu za uchumi zimilikiwe na wazawa badala ya wageni,kwetu kwao kwa nini?
10.Kuinua kipato cha mkulima kiendane na hali halisi ya maisha ya mtanzania.
Vipaumbele viko vingi sana na kwa kuwa hapa ni mahali pa GREAT THINKERS najua mtaendelea kutiririka,
Utaifa kwanza mengine baadae,acheni kutumika.Ni mtazamo na fikra zangu,hakika nyie msiposema sasa basi mawe yatapiga kelele.Mnakumbuka hadithi ya mfalme RAI?Adili na Nduguze?
 
Ndugu BwegeBwege kama hii analysis yako ndio inapiga kura kuchagua wabunge, then kweli kabisa mwakani hawatarudi.
 
Bwegebwege na washirika wake hana data ni aiona ya watu waathirika wa Elimu. Shule za Kata ni balaa. Iq approaching zero. Anafyatuka tu ili aende mtaa wa Lumumba apate hapo buku 5 arudi home hadi kesho. CDM muzik mkubwaawauwezi.
 
Asnte kwa utabili wako Sheikh/ mchungaji na Nabii Bwegebwege, ila nakuonya wananchi tunahasira vitu vimepanda bei hafu utushawishi tukakipigie kura chama chakavu Lo! Subirini uchaguzi wa serikali za mitaa maana mtaiba lakini hamfiki 65% ya idadi ya wenyeviti nchi nzima

Hajashawishi watu mkapigie kura chama chakavu. Inawezekana wakaondolewa na kamati kuu au hapo cdm hakuna wagombea wengine?
 
Na wa CCM mbona hujawatahaja kama kina Ngereja ..........wengine mtamalizia hii list
 
Kwa mkoa wetu wa mwanza,tutasafisha mizigo yote iliyoshinda 2010kimizengwe kama LIMBU-MAGU,NDASA-SUMVE NA MAWE3-MISUNGWI. Vp BUNDA,magamba yameshapata mgombea Udiwani kata ya Nyasura?
 
Kajimaliza mwenyewe.. mbona arusha ajaribu kudanganya km huko kwa washinda vibarazani? Aje tarime aone ya mwaka 2014
 
kenya ilikuwa na wabunge 220 bungeni. Baada ya uchaguzi mkuu waliorudi walikuwa 12 tu. I wish the same thing happens to TZ too....Bunge la TZ limejaa mizigo mingi tena ya ki.shenzi.
 
1. John Mnyika – kaishiwa sera, hana tena mvuto Ubungo, hasa hili la kukosa msimamo

Ukweli unaotusikitisha na kutuuma tuliompigania wakati wa uchaguzi. I wish someone put some senses to this boy. He is too expendable to Mbowe.
 
Mi nawashangaa sana chadema,lema ni mpuuzi sana na mnafiki sana maana kapita kwenye vyama zaidi ya mia leo hii eti kawa ndio msemaji sanaa kwenye chama,kwanza msen....analiwa kabang hadharani kisha eti muongozwe na mtu anaeliwa 0713,chadema wamekwisha watapata hukohuko kwao kaskazini na ubaguzi wao,ngoja tu lissu na slaa siku mtakayokitamani kiti tu muone na nyinyi mtakavyoadhirika
 
Kweli wewe ni gebwe gebwe bin Zuzu Zombi. Hata kuandika kwako ni tatizo jingine kubwa kuliko hata tatizo la kupanda kwa bei ya umeme nchini.

Kwa hiyo akija mbowe ndo atapunguza bei ya umeme au?? nyinyi kweli wengi sana wa chadema ni majuha hamnazo
 
Back
Top Bottom