Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

Kwa taarifa yako watu km akina Lema wakija jimboni kwako pia wanakuwa wabunge.

Lema alitembea iringa watu walimfuta nyuma mabomu yalilipigw ana polisi..aliyekudanganya mwambie akajaribu jimboni kwake kumwalika Lema apige mkutano halafu watu waambie na Lema atakuwepo.

Siwezi kuwa nimefikia umbumbumbu wa kiasi hicho; yaani wakosekane wa kuwaita nimuite Lema? NEVER!
 
Hao misukule ya akina mbowe mbona haihoji matumizi ya ruzuku ya chama? Watu wanajichotea tu wanajenga majumba ya kifahari na kujilipa mamilion kwa maden ambayo hayana uthibitisho wowote halaf wanasema wana viongoz makini? Wao ndio mafisadi wakubwa kuliko ma-ccm hao. Wachumia tumbo hao. Slaa mbona kalisaliti kanisa na kupoka mke wa mtu? Atashndwaje kuwasaliti wananchi wote? Hao hao aliowasaliti kanisani ndio hao hao atawasaliti kwenye siasa. Nawahakikishia wabunge wengi wa CDM hawatarudi bungeni 2015. Tusubiri mtaona aibu itakayo wapata hao wazinzi.
 
wewe ndo mbumbumbu na kilaza wa maccm!!! Hiv huna akili kabisaa za kujiongeza??? Amaaa kweli laaana ni mbaya!
 
misukule ni baba yako na ukoo wako
 
tatizo umetabiri 'kibwegebwege' hivi kati ya hao wabunge uliowataja hujaona mchango wao kwenye hii ncho kwa kipindi cha miaka hii mitano, unaweza mfananisha lissu au msingwa na asumpta mshama au na mtu kama john komba, ww ni bwegebwege!
 
wewe ndo mbumbumbu na kilaza wa maccm!!! Hiv huna akili kabisaa za kujiongeza??? Amaaa kweli laaana ni mbaya!

Nakubali umbumbumbu wa CCM! Lakini ni bor aniwe mbumbumbu wa CCM kuliko kuwa mwerevu wa CDM kama LEMA au LISSU! Hivi nyie wana CDM aliyewaroga kafa? Iweje leo kujadili mabadiliko ndani ya chama ni kosa la jinai? Mbowe anaiibia CDM, anatajirikia CDM...werevu wamemkatalia, wamesema no!...wakaitwa wahaini!

Eti hicho ndiyo chama kishike hatamu?
 
Wabunge wa Chadema na madiwani wao hawana Chao 2015.
Watapukuchuliwa kama mhindi.
 
Natamani nihudhurie hiyo mikutano ya LISSU (huko vijijini anakosifiwa)! Lakini ukweli uko wazi, he is useless! Nikuhakikishie tu kwamba Lissu harudi Bungeni 2015
Hivi kama Tundu LIssu ni useless nioneshe hao useful....Hasa magamba.Nyambafu!mnatia kichefuchefu na hizi hare brained analysis zenu!Kazi kuunda kamati mbili mbili za mazishi halafu mtaficha gharama za mazishi manake hayo mamilioni yanatosha kujenga madarasi hata 10 mahali.Kama CDM ni dhaifu tunaweza kuka attribute hiyo na uchanga wake lakini CCM?!THere is nothing more pathetic like an OLD FOOL!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hao misukule ya akina mbowe mbona haihoji matumizi ya ruzuku ya chama? Watu wanajichotea tu wanajenga majumba ya kifahari na kujilipa mamilion kwa maden ambayo hayana uthibitisho wowote halaf wanasema wana viongoz makini? Wao ndio mafisadi wakubwa kuliko ma-ccm hao. Wachumia tumbo hao. Slaa mbona kalisaliti kanisa na kupoka mke wa mtu? Atashndwaje kuwasaliti wananchi wote? Hao hao aliowasaliti kanisani ndio hao hao atawasaliti kwenye siasa. Nawahakikishia wabunge wengi wa CDM hawatarudi bungeni 2015. Tusubiri mtaona aibu itakayo wapata hao wazinzi.

mmeshawahi kuhoji ruzuku ya ccm?
 
tatizo umetabiri 'kibwegebwege' hivi kati ya hao wabunge uliowataja hujaona mchango wao kwenye hii ncho kwa kipindi cha miaka hii mitano, unaweza mfananisha lissu au msingwa na asumpta mshama au na mtu kama john komba, ww ni bwegebwege!

Mimi ni Bwegebwege!

----- Bin -----, a.k.a ----- wa Mabwege! Lakini pamoja na ubwege huu nina macho na masikio ya kuona na kutambua kwamba hao niliowataja hawaja-perfom! Inawezekana kwamba Komba na uliowataja nao pia hawaja-perfom...list yaweza kuwa ni ndefu, lakini utabiri wangu unahusu CDM na anguko lao la 2015!

Upo? Ni kibwegebwege, lakini ukweli!
 
Bwegebwege lala sasa kazi yako ushaifanya! kesho uamke haraka sana usinawe hata uso wala kupga mswaki uwahi kwanza foleni ya b7 pale lumumba!
 
Hayo yote uliyoyaongea ama kuyaandika,hakuna la ukweli hata moja,nisije kukutukana bure,ila jua wabongo wameamka,wanajua baya na Zuri,wanajua,serikali Yao ni ya kifisadi,mpaka basi
 
UJINGA - Unaanza kwa mtu binafsi, kuongezeka kwa idadi ya wasiokubali hoja tofauti nako kunjachangia ujinga!
Unazungumzia UFISADI uliopo, hujatafakari UFISADI wa Mbowe CDM
Kwa maradhi, umasikini nakushauri u-review life indicies....

Nahisi hauko well informed

hizi chit chat zako soon zitafikia mwisho... mnaacha kujadili issues za maana kama kupanda kwa gharama za umeme mnakuja na viroja as if kupanda kwa gharama za maisha kwa watanzania hakukuhusu! Mnaona sawa kwa TANESCO kuendelea walipa Symbion, Agreco, IPTL na SONGAS zaidi ya Million 700 kwa siku! Hizo ni fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao sasa hivi mnawapandishia bei ya umeme ili mpate fedha za kugharamia uchaguzi mkuu... Kukosa kwenu akili mnashindwa kujadili sera ya gesi ya thamani ya dola billoni 500 mnakuja na hoja za kipuuzi hapa... Ujinga na usaliti wenu hauna nafasi kwetu sisi tunaojielewa...mtaenda mahakamani lakini mwisho wa siku Wasaliti wote mtatimuliwa na CCM lazima itapigwa chini....uwe na Heshma kwa kiongozi Mbowe, Hata Kashilila amesha sema wazi kuwa alikwenda kwa biashara zake na hadaiwi kwani wao walianza kuchangia ukombozi wa nchi hii kabla ya uhuru na wangetaka kudai kama hao magamba wenzio msingeweza kumlipa... Chat na Wachumia tumbo wenzio usituzoee we ----...
 
bwegebwe et hawatamchagua mnyika kwa kuwa hana mvuto we umeambiwa ubungo wanachagua warembo mambo ya face book unaleta JF hujishangai kamanda mnyika licha ya wananchi wa ubungo, tume mahakama ilimpitisha awatumikie wana ubungo.

Hao wote uliwatabiria unajilisha upepo kwa keyboard si wabunge ila kwa wakazi ni wabunge tena wa ukombozi wa pili.

Si kazi rahisi kuwatoa kama unadhani ni rahisi kawaulize maccm mpaka sasa wanavyochemka ndipo uje utabiri
 
Hizo hoja za umeme, gesi, madini n.k ziliibuliwa na nani CDM? Msemaji mkuu na msimamiaji wa hoja hizo...mfuatiliaji na mtafiti wa issues alikuwa ni nani kama si ZZK? Ambaye amekuwa sacrificed tu kwa kuonesh ania yak eya kuwania uongozi! SACCOS inamuona ni tishio.....well nina hoja nyepesi, sina la kujadili lakini bado naona hao niliowatabiria kupigwa chini na wananchi wako njiani...na wewe unaogopa, ndio maana unakuwa na jazba!
 
Chadema ndiyo kila Kitu,maaovu yote tungeyajuaje bila chadema,mjinga peke yake ndiyo atakayesema chadema wabaya.sisi wenye akili timamu chadema ndiyo kila Kitu
 
Hao misukule ya akina mbowe mbona haihoji matumizi ya ruzuku ya chama? Watu wanajichotea tu wanajenga majumba ya kifahari na kujilipa mamilion kwa maden ambayo hayana uthibitisho wowote halaf wanasema wana viongoz makini? Wao ndio mafisadi wakubwa kuliko ma-ccm hao. Wachumia tumbo hao. Slaa mbona kalisaliti kanisa na kupoka mke wa mtu? Atashndwaje kuwasaliti wananchi wote? Hao hao aliowasaliti kanisani ndio hao hao atawasaliti kwenye siasa. Nawahakikishia wabunge wengi wa CDM hawatarudi bungeni 2015. Tusubiri mtaona aibu itakayo wapata hao wazinzi.
Usituletee siasa uchwara , siasa haramu za chumbani hapa. Hili si jukwaa la upaskuna na umbea hapa tunataka hoja.
 
bwegebwe et hawatamchagua mnyika kwa kuwa hana mvuto we umeambiwa ubungo wanachagua warembo mambo ya face book unaleta JF hujishangai kamanda mnyika licha ya wananchi wa ubungo, tume mahakama ilimpitisha awatumikie wana ubungo.

Hao wote uliwatabiria unajilisha upepo kwa keyboard si wabunge ila kwa wakazi ni wabunge tena wa ukombozi wa pili.

Si kazi rahisi kuwatoa kama unadhani ni rahisi kawaulize maccm mpaka sasa wanavyochemka ndipo uje utabiri

2015 siyo mbali mkuu! Acheni jazba, tulizeni mzuka!
 
Bwegebwege hebu twambie mwenzetu una kitalu,ama umepeawa tenda Fulani,Ama hata kodi nilipiga
 
Back
Top Bottom