THE ARSENAL
Member
- Jan 1, 2014
- 52
- 18
nimekuwa nikitafakari mwenendo wa baadhi ya viongozi wa cdm na haya matukio yaliyotokea recently kwenye chama hiki ambacho wengi tulikuwa tunakiona ni chama mbadala! Migogoro iliyopo sasa, na zaidi, kubwa ni suala la kukosekana kwa demokrasia ndani ya cdm na ongezeko la vibaraka wasio na ushawishi wala weledi wa masuala uchumi, maendeleo, siasa za ndani na za kimataifa kutasababisha cdm iporomoke zaidi na ikose mvuto mbele ya wapiga kura!
Si hayo tu, wakati tunajiaandaa na uchaguzi mkuu mwakani, ni dhahiri cdm haitakuwa na nafasi ya kutosha kurekebisha hali ya mambo ndani ya chama na kupata nafasi ya kuunda timu ya ushindi 2015! Tukutane baada ya uchaguzi 2015, lakini kwa sasa naona wabunge wafuatao watapoteza viti vyao:-
1. John mnyika kaishiwa sera, hana tena mvuto ubungo, hasa hili la kukosa msimamo
2. Godbless lema controversial politician, anapenda vurugu ambazo zimesababisha wafuasi na wanachama wengi wa cdm na wananchi wa kawaida kupoteza maisha au kupata vilema vya kudumu kutokana na ushauri na ushawishi wake wa kutumia maandamano na ghasia dhidi ya vyombo vya dola watanzania wameshtuka, arush ahawatamuunga mkono
3. Peter msigwa amejitahidi kuongea akiwa bungeni, lakini kujiingiza kwenye mgogoro na zitto, na kuendelea na mapambano dhoidi ya zk hata wakati amesimamishwa kumemshushia hadhi! Haonekani kama ana jipya, hana uwezo wa kupata info kama zk, who was a think tank of cdm!
4. Halima mdee amekuwa kimy akwa muda mrefu, tumesikia pi amalalamiko ya wapig akura wa kawe, zaidi jimbo hilo sasa linatamaniwa na kiongozi wa nccr-mageuzi, nab ado mama ritha anaklitaka! Kuna habari pia mchungaji rwakatare anajipanga kugombea .ni wazi halima hatakuwa na chake
5. Tundu lissu hadi raisi alimwit ani muongo mbele ya halaiki! Ni aibu. Pia huu mgogoro wa zitto na cdm amekuwa akiishauri vibaya cdm, haonekani kama ana elewa vizuri siasa; huyu ni activist, not politician! Kule singida kwao watamtupilia mbali
hawa ni wabunge mashuhuri wa cdm, wakitupwa nje ya ulingo hao na cdm inapoteza umaarufu zaidi hata ya tlp! Hapo bado kun ahatihati kwa kina nasari,
tusubiri tuone
you must be crazy