Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

CDM hawana uwezo wa kupata hata hiyo 25% ya Serikali za Mitaa! Tena hapo nimewapendelea...

Tatizo la kufanya tathimini kupitia katika mitandao ya kijamii, sisi tulioko huku vijijini ndo tunaowaona wananchi walivyochoshwa na maisha kuwa magumu kila kukiha na huwaelezi kitu mtutu yoyote atakae gombea kupitia upinzania haijalishi chama gani watampigia kura
 
Natamani nihudhurie hiyo mikutano ya LISSU (huko vijijini anakosifiwa)! Lakini ukweli uko wazi, he is useless! Nikuhakikishie tu kwamba Lissu harudi Bungeni 2015
Haya ni mawazo yako tu na si ya wananchi they are nothing but shear illusions.
 
Watu wanataka maendeleo siyo maneno maneno hata kariakoo mengi.

Yalete hayo maendeleo siyo kukalia mipango ya maendeleo kwenye madeski yenu ofisini unadhani watu wanataka propaganda kama mlizozoea eti mkichagua wapinzani inchi itaingia vitani, mara ooh! wapinzani ni wadini, wakabila, wataleta vita. Hizo sera hazina mashiko tena sikuhii digitali watu wanataka uongee kuhusu mandeleo
 
Haya ni mawazo yako tu na si ya wananchi they are nothing but shear illusions.

Kama hay ani mawazo yangu na si ya wanamchi kwa nini mawazo yanayoletwa hapa kusema kuwa LISSU anapendwa huko vijijini yanaonekana ni mawazo wa wananchi? Mbona CDM mnakuwa na jazba hivi kila panapokuwa na ukweli?
 
Katika uchambuzi wako unataka kutuaminisha kuwa eti Mnyika et al wana-underperform! Unaacha kuwasemea wale wanaoanza kwa kuunga hoja mkono kwa 100% kisha wanaanza kulalamika kwa utendaji dhaifu wa PINDA na serikali legelege mwanzo mwisho... kwako wewe wabunge waliong'ara ni Komba, Nchemba, Mwanjelwa, Prof Majimarefu et al... hivi ni kweli huoni kuwa kunatatizo kubwa kwa nchi hii kuendelea kuwa masikini wakati tunautajiri wa kila aina? style hii ya kuwatumia vibaraka kama Zitto ilianza long time na inajulikana kwa uwazi, Zitto alikuwa monitored kwa muda mrefu sana...kukimbilia mahakamani ni kujaribu kuzuia watu wasimwage data zake hadharani! suala la muda tu... atajuta kuzaliwa... Najua kuwa TISS wamemuandaa kama mgombea binafsi wa urais kwa lengo la kugawa kura! Hili nalo litashindwa ...Nyakati hizi si za kuchakachuliwa tena ...

Ahaa!

SO wewe unadhani wali-perfom ni kina LEMA na SUGU? Kwa lipi? Ile ya kupigana Bungeni? Sasa si bora hao wanaosinzia Bungeni kuliko hawa wanaoaibisha Bunge? Hebu nambie mchango mkubwa uliofanywa na SUGU au LEMA kwa maendeleo ya jimbo lao ni upi?? Maandamano??
 
Tafuta blanketi ujifunike ulale fofofo. Hizo ni ndoto za mchana na hiyo tafakari yako ni kielelezo cha hofu na nashaka mliyonayo watu wa CCM. Je anguko la wabunge wa CHADEMA kutaleta unafuu wowote kwa wananchi?
Tuliambiwa maisha borakwa kila mtanzania na leo tunaona gharama ya umeme juu, watumishio wa serikali mpaka leo hii hawajalipwa mishahara ya ya mwezi Desemba, hiyo kauli dhidi ya Lissu kisaikolojia tunaihesabu kama hofu na woga wa kisiasa mbele ya umma ni kujisalimisha self consolation kama hii ya kwako ni self consolation,
Mie ni Mwalimu mshahara nimepata na karibia unaisha sasa sijui hao wafanyakazi ni sekta gani?
 
Yani wewe hujielewi hata hujiulizi ni kwa nini kila kukicha baraza la mawaziri linavunjwa? CCM haitaishia kuanguka tu bali itatoweka kabisa juu ya uso wa Tanganyika mpya.

Ni mara nganpi Baraza la Mawaziri limevunjwa? Kwa Mawaziri kuondolewa si uwajibikaji? Ulitaka waendelee kubebwa ndio uone serikali iko thabiti? Kama ambavyo CDM wanataka kufanya? Kujiwekea himaya za kudumu?
 
Na mimi nippo kijijini pia; tofauti ya vijiji vingi nilivyopita, pamoja na mjini, wengi wanaona CDM SACCOS siyo mkombozi wa watanzania! Na wewe unalijua hili! Anguko la CDM linakuja, jiweke tayari!

Nadhani ungewaeleza anguko la CCM, huku nilipo mimi watu wamegawana hadi mabucha ya kuchinja kisa siasa za uchaguzi 2010 na baada ya hapo viongozi hawakuja kutibu hayo majeraha we kama unadhani CDM watakufa basi do upinzani umeisha umepotea, CF ipo na vyama vingine
 
Ahaa!

SO wewe unadhani wali-perfom ni kina LEMA na SUGU? Kwa lipi? Ile ya kupigana Bungeni? Sasa si bora hao wanaosinzia Bungeni kuliko hawa wanaoaibisha Bunge? Hebu nambie mchango mkubwa uliofanywa na SUGU au LEMA kwa maendeleo ya jimbo lao ni upi?? Maandamano??
siwezi bishana na wewe ambaye unaona Chenge et al ndo perfumers...Miaka 52 ya uhuru mbona maadui wa nchi yetu wameongezeka kutoka 3 mpaka 4 chini ya utawala wa CCM ? ie UJINGA, MARADHI, UMASIKINI na sasa UFISADI ...
 
Kwa taarifa yako watu km akina Lema wakija jimboni kwako pia wanakuwa wabunge.

Lema alitembea iringa watu walimfuta nyuma mabomu yalilipigw ana polisi..aliyekudanganya mwambie akajaribu jimboni kwake kumwalika Lema apige mkutano halafu watu waambie na Lema atakuwepo.
 
Nimekuwa nikitafakari mwenendo wa baadhi ya viongozi wa CDM na haya maatukio yaliyotokea recently kwenye chama hiki ambacho wengi tulikuwa tunakiona ni chama mbadala! Migogoro iliyopo sasa, na Zaidi, kubwa ni suala la kukosekana kwa demokrasia ndani ya CDM na ongezeko la vibaraka wasio na ushawishi wala weledi wa masuala uchumi, maendeleo, siasa za ndani na za kimataifa kutasababisha CDM iporomoke Zaidi na ikose mvuto mbele ya wapiga kura!
Si hayo tu, wakati tunajiaandaa na uchaguzi mkuu mwakani, ni dhahiri CDM haitakuwa na nafasi ya kutosha kurekebisha hali ya mambo ndani ya chama na kupata nafasi ya kuunda timu ya ushindi 2015! Tukutane baada ya uchaguzi 2015, lakini kwa sasa naona wabunge wafuatao watapoteza viti vyao:-
1. John Mnyika – kaishiwa sera, hana tena mvuto Ubungo, hasa hili la kukosa msimamo
2. Godbless Lema – controversial politician, anapenda vurugu ambazo zimesababisha wafuasi na wanachama wengi wa CDM na wananchi wa kawaida kupoteza maisha au kupata vilema vya kudumu kutokana na ushauri na ushawishi wake wa kutumia maandamano na ghasia dhidi ya vyombo vya dola…watanzania wameshtuka, Arush ahawatamuunga mkono
3. Peter Msigwa – amejitahidi kuongea akiwa bungeni, lakini kujiingiza kwenye mgogoro na Zitto, na kuendelea na mapambano dhoidi ya ZK hata wakati amesimamishwa kumemshushia hadhi! Haonekani kama ana jipya, hana uwezo wa kupata info kama ZK, who was a think tank of CDM!
4. Halima Mdee – Amekuwa kimy akwa muda mrefu, tumesikia pi amalalamiko ya wapig akura wa Kawe, Zaidi jimbo hilo sasa linatamaniwa na Kiongozi wa NCCR-Mageuzi, nab ado mama Ritha anaklitaka! Kuna habari pia Mchungaji Rwakatare anajipanga kugombea….ni wazi Halima hatakuwa na chake
5. Tundu Lissu – Hadi Raisi alimwit ani muongo mbele ya halaiki! Ni aibu. Pia huu mgogoro wa Zitto na CDM amekuwa akiishauri vibaya CDM, haonekani kama ana elewa vizuri siasa; huyu ni activist, not politician! Kule Singida kwao watamtupilia mbali…
Hawa ni wabunge mashuhuri wa CDM, wakitupwa nje ya ulingo hao na CDM inapoteza umaarufu Zaidi hata ya TLP! Hapo bado kun ahatihati kwa kina Nasari,
Tusubiri tuone

Nivema ukapimwe milembe kwa utabiri wako huo.
 
Ahaa!

SO wewe unadhani wali-perfom ni kina LEMA na SUGU? Kwa lipi? Ile ya kupigana Bungeni? Sasa si bora hao wanaosinzia Bungeni kuliko hawa wanaoaibisha Bunge? Hebu nambie mchango mkubwa uliofanywa na SUGU au LEMA kwa maendeleo ya jimbo lao ni upi?? Maandamano??

Tatizo lako ni Uhafidhina wako wa CCM, siasa ya nchi hii imebadilika sana nazani hata mwenyekiti wako wa chama/ Rais huwa narudia maranyingi tu kuhusu kubadili mitizamo yenu kwa siasa za sasa shaulilo!
 
Kama hay ani mawazo yangu na si ya wanamchi kwa nini mawazo yanayoletwa hapa kusema kuwa LISSU anapendwa huko vijijini yanaonekana ni mawazo wa wananchi? Mbona CDM mnakuwa na jazba hivi kila panapokuwa na ukweli?
aint mad at cha, you are the one who's mad, talkin trash about people who havent done anything bad to you.
 
siwezi bishana na wewe ambaye unaona Chenge et al ndo perfumers...Miaka 52 ya uhuru mbona maadui wa nchi yetu wameongezeka kutoka 3 mpaka 4 chini ya utawala wa CCM ? ie UJINGA, MARADHI, UMASIKINI na sasa UFISADI ...

UJINGA - Unaanza kwa mtu binafsi, kuongezeka kwa idadi ya wasiokubali hoja tofauti nako kunjachangia ujinga!
Unazungumzia UFISADI uliopo, hujatafakari UFISADI wa Mbowe CDM
Kwa maradhi, umasikini nakushauri u-review life indicies....

Nahisi hauko well informed
 
Kila m2 ccm amegeuka kuwa mtabiri alafu cha ajabu hayajawai kutimia
 
aint mad at cha, you are the one who's mad, talkin trash about people who havent done anything bad to you.

LISSU hasnt done anything! Yeye na wale niliowataja....nimesema na kile nilichoona wamekosea. NOT MAD!
 
Back
Top Bottom