Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 672
- 2,283
Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM.
Tupe utabiri wako
Tupe utabiri wako
wajinga nyie.Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM.
Tupe utabiri wako
uongozi FAKE bakini nao machawa usituletee ujinga kwenye jamii hapaKwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM.
Tupe utabiri wako
Ww mnuka jasho utazawadiwa wizara gani?Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM.
Tupe utabiri wako
Biteko ndo waziri mkuu.Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM.
Tupe utabiri wako
Sina utabiri ila onyo,tuache uchawa tufikiri uzalendo zaidi na namna yakurejesha mshikamano wa kitaifa na haki kwa wote,na namna ya kuihubiri HAKI ya kweli ile ya Kizalendo na sii ya kichawa ama ya kinafiki kama ilivyofanywa kuwa desturi ya watawala na chawa wao!Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM.
Tupe utabiri wako
Walimu wako walipata sana shidaSina utabiri ila onyo,tuache uchawa tufikiri uzalendo zaidi na namna yakurejesha mshikamano wa kitaifa na haki kwa wote,na namna ya kuihubiri HAKI ya kweli ile ya Kizalendo na sii ya kichawa ama ya kinafiki kama ilivyofanywa kuwa desturi ya watawala na chawa wao!
Mkeka wako umechanikaBiteko ndo waziri mkuu.