Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,648
- 9,987
Hapo mwanangu umepuyangaNjia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).
Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)
Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba imefungwa na Azam, mchezo unaofuata Yanga itafungwa na Singida mradi wakutane kwenye mshindi wa 3 ili amfumue tena.
Njia pekee ya kunusuru ni kuanza na mechi ya Yanga ili ikishinda simba ijifungishe wasikutane.
Mangungu, ongea na Karia.
Imepata mafanikio gani labda ambayo Yanga haijawahi kupata?Simba tumejikita kimataifa zaidi uto , halali anawaza kuifunga simba🚮
Tatizo umeachana na tunguli ningekuelekeza kitu.Hapo mwanangu umepuyanga
Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).
Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)
Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba imefungwa na Azam, mchezo unaofuata Yanga itafungwa na Singida mradi wakutane kwenye mshindi wa 3 ili amfumue tena.
Njia pekee ya kunusuru ni kuanza na mechi ya Yanga ili ikishinda simba ijifungishe wasikutane.
Mangungu, ongea na Karia.
Hayo maswali jiulizeni yanga ,simba tupo bize kimataifaImepata mafanikio gani labda ambayo Yanga haijawahi kupata?
😀😀😀😀Tatizo umeachana na tunguli ningekuelekeza kitu.
Hahahaaa😀😀😀😀
Umepata mafanikio gani kimataifa ambayo Yanga hajawahi kupata?Hayo maswali jiulizeni yanga ,simba tupo bize kimataifa
Simba tumejikita kimataifa zaidi uto , halali anawaza kuifunga simba🚮
Ngao ni lini ?Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).
Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)
Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba imefungwa na Azam, mchezo unaofuata Yanga itafungwa na Singida mradi wakutane kwenye mshindi wa 3 ili amfumue tena.
Njia pekee ya kunusuru ni kuanza na mechi ya Yanga ili ikishinda simba ijifungishe wasikutane.
Mangungu, ongea na Karia.
Kitu ambacho hujui ni kwamba Simba atacheza na singida na sio Azam. Yanga ndo anachezea na Azam.Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).