UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
2,882
Reaction score
7,916
Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).

Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)

Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba imefungwa na Azam, mchezo unaofuata Yanga itafungwa na Singida mradi wakutane kwenye mshindi wa 3 ili amfumue tena.

Njia pekee ya kunusuru ni kuanza na mechi ya Yanga ili ikishinda simba ijifungishe wasikutane.

Mangungu, ongea na Karia.
 
Hapo mwanangu umepuyanga
 
Tuacheni lwanza tudeal na ccm...una raha gani kuongea mambo haya wakati Yanga imechangia milioni 100 harambee ya ccm..wakati bado wanachangisha wanachama
 
Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).

Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)

Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba imefungwa na Azam, mchezo unaofuata Yanga itafungwa na Singida mradi wakutane kwenye mshindi wa 3 ili amfumue tena.

Njia pekee ya kunusuru ni kuanza na mechi ya Yanga ili ikishinda simba ijifungishe wasikutane.

Mangungu, ongea na Karia.

Unawahi kuamka umfutie viatu shemeji yako kisha unabaki na dada yako mnapiga stories shemeji yako akienda kazini. Dada yako kaenda kulala wewe unaomba simu yake uje uandike mashudu. Mkia wewe. Yanga ni team kubwa subiri shemeji yako arudi jioni ukampokee.
 
Madogo mud wote mnawaza kuifunga simba dah.
 
YANGA BINGWA
20250718_194530.jpg
 
Yanga ni wapumbavu sana, kuweka siasa na mpira in one basket 🧺.

Wanaoweza kuandika fifa kuishtaki yanga wafanye hivyo. I don't support Simba ila kwa hili lolote baya liwakute Yanga.
 
Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).

Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)

Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba imefungwa na Azam, mchezo unaofuata Yanga itafungwa na Singida mradi wakutane kwenye mshindi wa 3 ili amfumue tena.

Njia pekee ya kunusuru ni kuanza na mechi ya Yanga ili ikishinda simba ijifungishe wasikutane.

Mangungu, ongea na Karia.
Ngao ni lini ?
 
Kitu ambacho hujui ni kwamba Simba atacheza na singida na sio Azam. Yanga ndo anachezea na Azam.
 
Back
Top Bottom