Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

Hawa Simba wanaokata upepo second half? Hawa wanaoshindwaa kupata clean sheets game 3
Simba hii hii ya kocha aliyejifungashia mwenyewe virago?

Simba ya sàsa ni mbovu haijawahi kutokea!

Try again, CEO, Mangungo na Mo ndiyo virusi. Bila kuondoka hao, wana simba wataendelea kupata vichomi tu.
 
“Mamelodi Sundowns ni timu kubwa Afrika ila msisahau wanacheza mpira wa kufanana kama wetu, ndoto yetu ni kuwa kati ya timu tano bora Afrika ndio tunapaswa kucheza mechi kama hizi, naamini itakuwa mechi nzuri na hatupaswi kufanya makosa, sina shaka hatupaswi tu kufanya makosa, ndoto ni kuvuka hatua hii”

🎙️ Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Garmondi.

Via AZAM TV

#timuyawananachi
#daimambelenyumamwiko
 
FT
1_1
 

Attachments

  • 1710310174014.jpg
    1710310174014.jpg
    125.5 KB · Views: 5
10 years Al ahly hajawahi tolewa robo fainali
Wewe misimu 4 mfululizo unatolewa robo fainali
 
Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali..

kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa Ugenini hivyo kuyaaga mashindano hayo..

Wakati huo Simba atafunga goal nyingi Nyumbani,Ila atafungwa akiwa cairo wingi wa magoal (Aggregate) Utambeba na hivyo kusogea Nusu Fainali..

Asec atafungwa na ES Tunis, Hivyo ES tunis Kupata nafasi ya kuingia Nusu Fainali pamoja na Masandawana..

Huku na huku Mazembe atamchapa Petro na kuingia Nusu fainali huku watashindana mazembe na Simba nusu fainali na Simba ataibuka Mshindi na kwenda kucheza Fainali na Mamelodi..

Japo atakuwa mshindi wa pili mamelod masandawana akichukua CAFCL.

View attachment 2932768
Jana nilikuuliza wewe ni daktari wa nini hujanijibu.
 
KAMA WEWE NI DAKTARI NDIO MAANA MUHIMBILI BIANADAMU ALIPASULIWA KICHWA BADALA YA GOTI.

TANZANIA YANGU
 
Back
Top Bottom