NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Yani umwambii kitu hata kama ni kupoteza hela yupo radhi,ilimradi tu nafsi yake ipate inachokitamani.Huyo anaongea kwa sababu mapenzi ya timu yamezidi uhalisia wake.
Yani umwambii kitu hata kama ni kupoteza hela yupo radhi,ilimradi tu nafsi yake ipate inachokitamani.Huyo anaongea kwa sababu mapenzi ya timu yamezidi uhalisia wake.
Hapa tusubiri muda utaamuaHuyo PSG mwaka jana tu alicheza fainali na kikosi chake ila uzoefu na pressure iliwakwamisha japo walicheza vizuri sana na Bayern Munich alishinda kwa mbinde tunaweza sema.
Mwaka huu mambo yamekuwa tofauti na kama uzoefu basi huyo Man city tena anaweza kufa ndani nje!
Pia fatilia njia ya PSG hadi hapo alipofika toka iwe mikononi mwa Pochettino.Chelsea itawashangaz wengi msimu huu. Kaeni hivyo msubiri maajabu.
Ujiulize hao watoto wamefikaje nusu fainali?
Si sasa Liverpool pia hahikuwa vizuri.Real madrid hua wanapandwa na mapepo ya ubingwa wakifika nusu fainali. Ukiangalia jana walicheza bila mabeki wao watatu wa kuwategemea. Sergio Ramos, Raphael Varane, Dan Carvajal. Pale katikati wana casemiro, mondrick, na Krose. Viungo wote hawa ni Seniors na wana uzoefu mkubwa sana, pamoja na kua wamechukua uefa mara nne ndani ya madrid, ila wanakua na njaa ya mafanikio vibaya mno.
Angalia jana walivyocheza, ni kama timu mbovu hivi, lakini zidane ni kocha wa matokeo, hana mpira mzuri ila...
Halafu kwa kuwaonjesha tu, Chelsea kamtoa man city kwenye kombe la FA!! Mwenye macho haambiwi tazama!Chelsea itawashangaz wengi msimu huu. Kaeni hivyo msubiri maajabu.
Ujiulize hao watoto wamefikaje nusu fainali?
Mtori huu nyama zipo chini.Msiichukulie poa Chelsea ya Tuchel. Yule Tactician na yeye ni mzee wa kutafuta matokeo.
Bado nampa nafasi PSG pia amekuwa na record nzuri toka mashindano yaanze akiwa ugenini.Huyo PSG akija etihad hataamin kitakachomkuta ..
Huyo neymar kashazoea kudeka na kulia ,atalia machozi ya damu ..
Sisi man city tunacheza mpira wa kwenye kitabu ,imagine
.zincheko
Foden
Stone
Ni madogo ambao wanakiwasha bila kupoa ...
Camoon ze cityzen
Bado naendelea kuwapa nafasi Real Madrid pamoja na PSG kutinga fainali na PSG naendelea kumpa nafasi ya kutwa ubingwa.First leg imeisha, PSG mguu mmoja nje tayari.
ulikuwa unaangalia nyuma ya Tv psg alipiga mpira mwingiHabari.
Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:
Leg 1.
27 April 2021 Tuesday
Paris Saint Germain Vs Manchester City
Real Madrid Vs Chelsea
Leg 2.
04 May 2021 Tuesday
Manchester City Vs Paris Saint-Germain
Chelsea Vs Real Madrid
Hapo bila kupepesa macho mpira anaocheza Paris Saint Germain dhidi ya kocha wao Pochettino umekuwa na nidhamu ya kutafuta matokeo tu hakuna kingine.
Hivyo basiasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.
Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.
Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.
Updates. 29/04/2021
Baada ya first leg matokeo yamekuwa yakishangaza kulingana na uzi wenyewe ila amini nawaambia wengi watashangazwa zaidi baada ya 2nd leg.
1st leg.
Real Madrid 1 - 1 Chelsea
✓Pulisic
✓Benzema
PSG 1 - 2 Manchester city
✓Marquinhos
✓De Bruyne
✓Mahrez
Hakika naendelea kuona PSG bado ana nafasi ya kusonga mbele vizuri kabisa kwa mpira niliyoona jana kwa zaidi ya dakika 50 alipiga mpira mwingi sana na hata Etihad nategemea wataweza kupindua meza vyema.
Real Madrid ana nafasi ngumu japo Chelsea waliweza kupambana na kucheza mpira mwingi ila pale darajani naona watalala na viatu pia naendelea kumpa nafasi Real Madrid kuendelea mbele.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
naskia hajapiga ata shootPSG hawafurukuti zaidi wanategemea individual brilliance ya Mbappe, na ninavyomfahamu Guardiola atatafuta mfumo utakaomficha huyo Mbappe hataonekana uwanjani kama ilivyotokea kwa Haaland, nampa nafasi Man City kwenda fainali na ikitokea akafika fainali bado nampa City nafasi ya kuwa bingwa kama atakutana na Madrid, City wana ubora wa kikosi Madrid wanabebwa na historia tu.
Chelsea anatinga final. Then lolote linaweza kutokea kati yake na City au PSGMtori huu nyama zipo chini.
Ngoja tusubiri marudiano wiki ijayo
Wiki ijayo sio mbaliHii mechi ni ya kisasi kati ya Mauricio Pochetino na Pep Guardiola.
Man city atafungwa tena pale pale Etihad
unajidanganyaIkitokea Madrid kuingia fainali, basi ujue kazi ishaisha. Madrid hapotezi fainali ya UEFA!
PSG hawezi kubeba UEFA labda katika misimu 20 ijayoBado naendelea kuwapa nafasi Real Madrid pamoja na PSG kutinga fainali na PSG naendelea kumpa nafasi ya kutwa ubingwa.