:biggrin1:Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati. Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
aliyekudanganya wachawi wanamuomba Mungu ni nan?
Ulishawahi kusikia Mungu katenda ubaya? Lkn hayo wachawi wanayokutendea ni mema au huwa wanatenda mema?? Kusema wachaw wanamuomba Mungu au kwenda kanisani ni kukuzugisha na kuficha maovu yao(kuvaa ngozi ya kondoo)
mwenye ufahamu na aelewe mf huu: ulishawah skia polc mpelelezi anakaa kijiweni,bar na anakunywa hata kuvuta anavuta
lkn akishakamata mtuhumiwa wake utasema na yeye ni muhuni/mlevi coz alikaa ktk sehemu hzo 2 hapo juu??
Dini yake ni yanga.
Hahahahahaha!poa mkuu samahani sana.
Ila dawa yake ni ww kulala uchi huku nyandonga imesimama
Dah!Hahahaha...hivi ile BAN ya wakati ule ni nani alikusababishia mkuu, ile ya kule Jukwaa letu la Michezo
Dah!
Lazima watakua watu wa Simba ndo walimsababishia.
Mie mwenyewe nilikulaga BAN la namna hiyo,kisa eti Libolo limemuingia balabala! msomari.
Mkuu nyumba yangu ipo jirani na muembe mkubwa sana,na mimi hapa kwangu pia kulikua na muembe mkubwa sana but nimeukata kama miezi 3 iliyopita maana ulikua unaharibu bati la nyumba.......so ukabaki muembe wa jirani yangu ambao ni mkubwa sana pia na upo kama mita5 hivi kutoka kwenye fance ya nyumba ninayoishi.hili huwa linatokea sana kabla kuna maswali kadhaa je? Nyumba yako iko sehemu gani? Iko jiran na nn? Mti, Mto, Mawe etc Before kwenye hicho kiwanja kulikuwa na na nini? Labda makaburi n.k, je kiwanja au nyumba ilikuwa na mgogoro?? Wameshawahi kuwazuru? ukisema hayo tunaweza kukusaidia, coz samtym wewe ndo unaweza ukawa umekaa kwenye eneo ambalo ni njia au meeting point yao... Dawa za kuona wachawi zipo ila usiombe huwez himili utaona vitu vya ajabu hadi hutakuwa ukitoka nje, mfano sokoni hutataka kwenda kabisa.. If ur serious jibu hayo maswali nkwambie cha kufanya
Hahahaha...hivi ile BAN ya wakati ule ni nani alikusababishia mkuu, ile ya kule Jukwaa letu la Michezo
Nina wasiwasi na hawa wawili Mandieta au Wabhejasana. Au mwenye kiti una husika? mbona swali kama limekaa ndio sio vilee?