CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Unaamini dini gani, kama ni Mkrist basi mwalike Yesu Kristo
nimecheka saaana jamani yaani you have made ma day.
Ndg you only need to pray in Jesus name, omba kabla ya kulala na unaweza pia kuamka muda wa saa nane usiku au saa tisa usiku na kuombna. Aidha, funga na kuomba na kukemea hali hiyo. Na ukiomba mwambie Mungu akuonyeshe hao maadui, unaweza ukawaona hata kwa ishara tu, wanaweza kuja kwako na kujisemesha visivyoeleweka hasa kama hawana kawaida ya kuja kwako, huyo ndiye Mungu ajibuye maombi

ndio muda mzuri wa wewe kuomba, ukiamka kuomba tu wanakimbia mbio za mwizi anayekaribia kukamatwa na hutawaona tena, wakikuta mtu anaomba hawawezi kufanya chochoteMkuu Aine huo muda unaotaka niamke itakua ngumu,maana ndio muda wao wa kucheza 'sebene' ndani kwangu!
Mkuu Smile nshamuomba mungu lakini ndio kwanza wanazidi.
Lakini just remember kwamba mungu huyo huyo hata wachawi wanamuomba.
Sasa bora mimi nitumie njia nyingine!
Mkuu Smile nshamuomba mungu lakini ndio kwanza wanazidi.
Lakini just remember kwamba mungu huyo huyo hata wachawi wanamuomba.
Sasa bora mimi nitumie njia nyingine!
hahahahahahahahaahahahh you have made my day ,aisee ngoja nikupe namba ya jamaa mmja atakusaidia kuwanasa hhhaahahahah mwombeni mungu sana na mwageni maji ya baraka ndani hutaona kitu kamweWakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
Wanamuombaga mungu bhana!aliyekudanganya wachawi wanamuomba Mungu ni nan?
Ulishawahi kusikia Mungu katenda ubaya? Lkn hayo wachawi wanayokutendea ni mema au huwa wanatenda mema?? Kusema wachaw wanamuomba Mungu au kwenda kanisani ni kukuzugisha na kuficha maovu yao(kuvaa ngozi ya kondoo)
mwenye ufahamu na aelewe mf huu: ulishawah skia polc mpelelezi anakaa kijiweni,bar na anakunywa hata kuvuta anavuta
lkn akishakamata mtuhumiwa wake utasema na yeye ni muhuni/mlevi coz alikaa ktk sehemu hzo 2 hapo juu??
Ahsante mkuu!hahahahahahahahaahahahh you have made my day ,aisee ngoja nikupe namba ya jamaa mmja atakusaidia kuwanasa hhhaahahahah mwombeni mungu sana na mwageni maji ya baraka ndani hutaona kitu kamwe