Uswazi na misosi!


AISEEEE..
 

Kwahiyto siku hizi unaanza na nyama au ugali?
 
Hata asubuhi ya leo nilipokuwa napata supu na chapati, nilimaliza chapati na mchuzi kwanza, halafu finyango kama mbili tatu hivi za kubakizia ladha mdomoni ndio zikawa mwishoni! Ni kaugonjwa aisee!

Hahahahaaaaaaa!!!!!!!!

Mkuu umecheza mulemule!
 
SIJAONA WALA KWENYE SUFARIA HUMU...
 

Mkuu we acha tu

Maisha ya uswazi yana raha yake!!!!!!!!!!!
 
Mkuu naongezea

Mkiachwa watoto peke yenu chakula mnakula vizuri mwishoni mnaanza kugombania

Cha ajabu chakula bado kipo msiposhiba mnaongezwa

Utoto raha sana
 
Ahahahaaaa nilichojifunza mimi ni kwamba ubwabwa wa shughulini usiununulie ndizi.

We tinga tu kininja, daka tonge, kula ubwabwa, kunywa mirinda yako halafu sepa.

Mkuu yaani kuna wataalam wa hizi shughuli we acha tu!!!!!!
 
aiseee
vingekuwa vinachukulika ningeshachukua
With Respect !! haki ya nani tena...Ukihitaji hiyo kuchukua daily!! kazi rahiisi...Wee olewa na shehe tuu !! utapata hadi yakukifu!! Maana kila siku kuna mwaliko!! NB; (Taadhima na adabu kwa mashehe wangu)
 

Hahahahahaaaaaaaaa!!!!!

Mkuu umenichekesha sana hapo kwenye migoko ya kwio kwio

Mambo ya Pansiasi hayo ...lol!!!!!!!!!!
 
Halafu nani mwingine humu keshawahi kupotea kwa kufuata mdundiko? Basi mi nashawahi bana. Kisa nilikuwa namfuata mbebz mmoja anaitwa Kuluthumu. Mdundiko ulianzia Mlalakuwa mie nikajikuta niko Sinza Abajaro! Kupotea nikapotea na mbebz sikumpata.
 
hahahahahaha nahisi wewe ndo hao kaka zangu mimi nilikuwa nawatega tu kikianza kuisha ni cha
kwangu wakili bibi hapo

Sisi tulikuwa haturuhusiwi kula na madogo kabisa maana lazima washinde au kulala njaa!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…