Uso kwa Uso na C6...

Uso kwa Uso na C6...

Nyie kina @fp, mangi Mentor na Elizabeth Dominic msinivunjie heshima mimi nafanya kwenye mtandao wa simu halafu na dip? Kweli inakuja hiyo? Kwani mi mangi?

Mi sishangai , nna jirani yangu mangi anaitwa Mboro, ni fundi wa fridge.
Kuna siku alitengeneza ma'fridge 13 kwa tender ya kampuni flani, akawa anawadai ml. 1 .2 , cha kushangaza kazi alipomaliza akawa anawa beep watu wa kampuni.
Siku 3 kidume hapigi na simu ina salio!
 
Last edited by a moderator:
Mi sishangai , nna jirani yangu mangi anaitwa Mboro, ni fundi wa fridge.
Kuna siku alitengeneza ma'fridge 13 kwa tender ya kampuni flani, akawa anawadai ml. 1 .2 , cha kushangaza kazi alipomaliza akawa anawa beep watu wa kampuni.
Siku 3 kidume hapigi na simu ina salio!

Sasa shem ulitaka awapigie ili aingie extra costs!??
 
mhhhhhhh mke wa tatu huyo ananukiaa...
weweeee...
Dada huyo dada huyo..anaolewaa!!
ikiwa mke mwenza mwenyewe ni gfsonwin na mwenzie mbona huyo Kaizer tutamgawana abakie uzi,kha sidhani kama ana hiyo ajenda kwa kweli,huku aambiwe mchakato ukweni lazima huku aambiwe hata juu ya jiwe poa!atapona kweli!hao wawili wanamtosha,mie ni mwalimu wake tu!
 
Last edited by a moderator:
me nawaangalia tu. sitaki maneno mingi. . . Mentor tafadhali naomba uniwie radhi make hali niliyonayo Erickb52 ndo alishuhudia yan choka mbaya na huyu kijacho. . .
 
Last edited by a moderator:
nilim-hug ile yenyewe! hata hubby Asprin sikumkumbuka tena! welkam again and againa @c6

Nlijua tu. Jana si ilikuwa Ijumaa? Unafikiri Kwa kuwa sijui kusoma hata picha nazo zitanishinda?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom