Usiyoyajua kuhusu Warumi

Status
Not open for further replies.
Kwa Kiingereza inaitwa, "to make amends". Kurekebisha mambo yako ya huko nyuma ambayo unahisi hayakuwa sahihi. Nadhani alikwishaanza kuumwa na akahisi kifo. Ugonjwa wa figo uliomuondoa uchukuwa muda mrefu kabla ya kifo. Nadhani madaktari walimwambia kuwa siku zake ni chache.
Yes sure, daah duniani sisi sote ni wapitaji tu!
 
Ahhahahah daah binamu nimekumbuka enzi zile umeenda kulala kwenye msiba wa marehemu Adam Kuambiana, enzi za Lucy Komba na gauni lake la harusi utafikiri anapokea komunio. Kubwa kuliko enzi zako na Dina kuchambana na Matola; unachamba hadi unachanganyikiwa unajiquote mwenyewe unajichamba tena daah. Kuna siku ulipewa ban, tukaandamana kwa mods na #BRINGBACKWARUMI#, tulikukoma ulivyorudishwa . Heshima yako binamu
Nimesikitika sana leo ndio nimepata taarifa za ndugu yetu huyu mbea first class.

Mungu ampumzishe kwa amani.
 
Amen.

Kwa kweli hadi mwisho wake; alikuwa anasema wewe ndiyo ulijua kumkomesha humu ndani jamani. Tumemmiss kwa kweli jasiri muongoza umbea
Nimesikitika sana leo ndio nimepata taarifa za ndugu yetu huyu mbea first class.

Mungu ampumzishe kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom