mkuu ni nouma wale walishakula hela yangu ndefu! siku nilikuwa na serengeti.mmoja ndio wakadai hii kesi kabisa ya Babu seya! ili kupandisha dauwana njaa kitu
halafu wakishtukia umeoa upo na mchepuko ndo hela ndefu itakutoka zaidi
mkuu ni nouma wale walishakula hela yangu ndefu! siku nilikuwa na serengeti.mmoja ndio wakadai hii kesi kabisa ya Babu seya! ili kupandisha dauwana njaa kitu
Sana mkuu wanajua kusoma saikoloji.wakiona unachachawa sana wanajua unaogopa.halafu wanakuwa na pingu! hujawahi valishwa hata siku moja unaona ndio umekwisha nafuu ucheue laki yaishe. kwanza wenye wake hawaendagi nao kule wengi wao.halafu wakishtukia umeoa upo na mchepuko ndo hela ndefu itakutoka zaidi
mkuu democracy kila mtu na kitu anachopenda na kwenda unakotaka.mfano kwangu hata kwako sidhani kama unaweza kupata mishikaki ya samaki na ndizi za kuchomwa.au outing ya kawaida.kwanini ukae nyumbani 24/7 that is boring life.Ni sababu gani haswa inakufanya uende Coco Beach kila mara halafu ubaki ndani ya gari kula, kunywa, etc umejifungia ndani ya gari? Kwani huwezi kufanya yote hayo chumbani?
kweli kabisa mkuu ndio maana nawatahadhalisha wasiojua hilo waepuke kutoa mwamalaAskari kule hawalindi watu usalama wao bali wanavizia watu wawabambikie makesi yasiyo na msingi hasa ukienda na gari bila kushuka watakuvizia weee na wana watu wao wanaowapelekea taarifa hasa wale wauza miogo ya kutembeza
mkuu sasa ukimgegeda demu wako.ndani ya gari lako.polisi anahusika veepe na faragha zako? coco beach.hapafaiNiliwahi kukamatwa coco beach katika kile kilima nikimgegeda demu wangu ndani ya gari.Nilikuwa form six kipindi kile.Ilikuwa tafrani ila sakata lilisha kwa amani.
Watu wengi wanatumia ufukwe ule kufanya ngono.
Haina maana, bora kwenda beach za kulipia lakini usalama unakuwa guaranteed!starehe inageuka kero
Lakini na nyie mnaoenda kufanya ufuska beach mna matatizo. Mnakwepa gharama za lodge au?Niliwahi kukamatwa coco beach katika kile kilima nikimgegeda demu wangu ndani ya gari.Nilikuwa form six kipindi kile.Ilikuwa tafrani ila sakata lilisha kwa amani.
Watu wengi wanatumia ufukwe ule kufanya ngono.
Right thing in wrong community mbona mbagala wanacheza vigodoro tumewaachiaSasa kama beach yenyewe ni ya mateso hivyo ni bora tu ibinafsishwe
Mkuu rudia kusoma ulichoandika. !Nafuu nilipe hela nikalale kwao kuliko kwenda kulala lock up kwa kesi ya kusingiziwa uzururaji/ujambazi!
Lakini na nyie mnaoenda kufanya ufuska beach mna matatizo. Mnakwepa gharama za lodge au?
mkuu sasa ukimgegeda demu wako.ndani ya gari lako.polisi anahusika veepe na faragha zako? coco beach.hapafai
Kumbuka diwani wa Mbagala ni Manji wale washakuwa privatised kijanjaRight thing in wrong community mbona mbagala wanacheza vigodoro tumewaachia