Usiyoyafahamu kuhusu Malawi

Usiyoyafahamu kuhusu Malawi

Halafu vitu vyao bei nafuu Sana tofauti na huku kwetu..
Mm tangu mdogo mpaka utu uzima nmetumia bidhaa za marawi
Vitu bei nafuu mbona wao ndiyo wanatoa vitu hapa wanaenda kuuza kule? Sana sana magodoro, ndoo, deki na vitu kama hivyo. Mmalawi mmoja akaniambia godoro ambalo huku ni la kawaida la 4*6 inchi 6 linanunuliwa bei ya godoro la inchi kumi la Dodoma la hapa la 6*6.
 
Wana mikoa mi3 tu au
Ndiyo. Kusini, Kati na Kaskazini. Miji mikuu ya mikoa ikiwa Blantyre, Lilongwe na Mzuzu.

Lilongwe pia ni mji mkuu wa nchi. Mji mkuu wa kwanza wa Malawi ulikuwa Zomba (katika mkoa wa Kusini) - Rais wa kwanza Kamuzu Banda akahamishia mji kuu Lilongwe.
 
Kuna uchawi hukoooo ni shida
Kwa waliokuwepo mkoa wa Mbeya miaka ya 1960 - 1970, watamkumbuka mganga mkuu "Chikanga" aliyekuwa Malawi - alikuwa tishio sana.

Ukimwibia au kumkosea/ mtu enzi hizo ukasikia anataka kwenda kwa Chikanga kuagua, ilikuwa ni bora umwahi uliyemkosea muyamalize kabla hajafika huko Malawi.
 
najikuta ghafla kutamani kutembelea nchi hiyo gharama zake zikoje yaani hotel, usafiri, viza kwa kukaa siku tatu ukitokea dar kwa ndege au aina nyingine ya usafiri.
pia je kuna fursa gani zinazoweza kutufaa watu wenye mijaji midogo na ya kati.
Hakuna visa ya kutafuta kabla kwa mtanzania anayetaka kutembea Malawi. Passport yako inatosha. Visa (ya mwezi moja) hugongwa kwenye passport unapofika Malawi.
 
Malawi ni nchi isiyo na bahari iko kusini mwanTanzania. Mpaka 2006 wananchi wa Malawi hawakuhitaji visa kuingia Uingereza. Visa ilianza baada ya Wanigeria wengi kuingia Uingereza kwa passport za Malawi.

Kuna Hospital Lilogwe ambayo ni maalum kwa wataalamu wa kigeni na watalii wanaoishi na kutembelea Malawi. Wafanya kazi wa hospital hii baada ya kufanya kazi kwa miaka miwili wana uwezo wa kuomba kazi moja kwa moja katika wizara ya afya ya Uingereza National Health Services.
Nipo hapa karonga we upo wapi dear Sky Eclat
 
Katika Mji wao mzuri wao wa Blantyre wana Barabara kuu moja tu ya Limbe ikipita kwenya uwanja wa mpira wa Kamuzu Banda. Mwisho wa barabara kuna maduka ya Wasukuma wengi yanaitwa swahili shops. Ila Wanatupenda sana Watanzania kwa kipindi cha miezi tisa niliyoishi pale niliwatafuta mno. Tatizo moja, Malawi ni kama Zambia na Zimbabwe hawana wanawake warembo. Nilichopenda Wamalawi hawajui 'kubagain' bei ya kitu, yaani wakienda dukani au sehemu yoyote kununua wakiambia ni kwacha 500 hawawezi kusema nipunguzie. Ukiomba tu kupunguziwa wanajua wewe ni Mbongo. Wana usafiri mzuri wa mabasi kutoka Blantyre hadi Johannesburg. Blantyre ni mji mzuri sana. Bia yao ni aina mbi tu Carlsberg na Carlsberg special malt. Ila kwa sasa wana import castle lager kutoka South. Mji wa Lilongwe ndio mbaya zaidi umejengwa hovyo hovyo tu sikuupenda nilikaa siku moja tu.
mademu wa malawi ni wachafu sana hawajui kuvaa ila ukiwa mbongo ni kama umetoka jberg dream kubwa ya wamalawi ni kutembelea/kufika DAR ES SALAM wanaita Dara
 
Huku kipaumbele ni gari hata mkulima wa mihogo ana gari bora usiwe na nyumba ila uwe na gari vijumba vyao sio mangaroo kama ya huku Tz japokuwa wameanza kuiga ujenzi wa nyumba za kisasa
 
Sehemu kubwa ya Land bado iko chini ya settlers, Dr Banda hakuwanyang’anya baada ya uhuru.
aseee kwa maana hiyo
hata Mugabe angefanya ya kina Mandela na Banda bado angekuwepo kitini?
huyo Banda hakuwa kweli agent?
nakumbuka kuna mahali niliwahi sikia Banda og alikufa but wakamchukua mzungu na kumfanyia plastic surgery kuna ka ukweli hapo???
 
aseee kwa maana hiyo
hata Mugabe angefanya ya kina Mandela na Banda bado angekuwepo kitini?
huyo Banda hakuwa kweli agent?
nakumbuka kuna mahali niliwahi sikia Banda og alikufa but wakamchukua mzungu na kumfanyia plastic surgery kuna ka ukweli hapo???
Ndiyo maana hakuelewana na mwalimu Nyerere, hakushiriki kabisa katika harakati za ukombozi wa bara la Afrika baada ya yeye kuwa rais.
Ule wakati wa kuiwekea vikwazo Africa ya Kusini yeye ndiyo wakikuwa marafiki zake.
 
Ndiyo maana hakuelewana na mwalimu Nyerere, hakushiriki kabisa katika harakati za ukombozi wa bara la Afrika baada ya yeye kuwa rais.
Ule wakati wa kuiwekea vikwazo Africa ya Kusini yeye ndiyo wakikuwa marafiki zake.
kwa maana hiyo.
hiyo nadharia ya Banda Og kufariki na kuibuka fake ni ina ka ukweli au ni chai?
au katika dondoo zako huna uhakika?
 
Back
Top Bottom